mtwa mkulu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2013
- 8,577
- 11,204
Naombeni tujuzane mlio sali KKKT leo kanisani kulikuwa kwema?
Je wote mmekubali kuongozwa na mwizi wa kura Askofu malasusa?
Nategemea mrejesho wenu Ahsante
Je wote mmekubali kuongozwa na mwizi wa kura Askofu malasusa?
Nategemea mrejesho wenu Ahsante