Mada imekukera! Kuwa tayari kusikia habari usizozipenda huo ndio uungwana.Umeona umeandika kitu cha maana sana maswaka ya uchumi achia watu wenye taaluma hiyo
Kwa hiyo tuna advantage kwa TZS kuwa very far weaker than USD? Hebu dadavua mchumi first class!Nchi kama India na China sarafu zao kuwa chini ya dollar huoni kwamba ni advantages kwa hizo nchi?
Hivi nyie wenzetu mna ABC za uchumi?
Ungesema mwamba GDP ya India au China imeshuka hapo ningekuelewa. Au export zao zimeshuka hapo ningekuelewa.
Hivi unakumbuka kipindi kile Trump ni president alikuwa analalamika kwa kitendo cha China kushusha curency yake na kusema inaondoa trade competitiveness.. unakumbuka?
Embu jifunze kwanza elementary economics.
Muungano wa BRICS ambao ulianzisha ajenda ya kuondoa dola ya kimarekani sasa uko chini ya rehema ya dola ya Marekani mwaka wa 2025.
Dola ya Marekani ilisalia katika kijani kibichi kwa siku tisa mfululizo katika faharasa ya DXY na kukanyaga sarafu nyingine za ndani. Rupia ya India imeshuka hadi kiwango cha chini cha 85.93 na iko kwenye ukingo wa kushuka hadi kiwango cha 86. Yuan ya China na Yen ya Japan zinakabiliwa na hali ya chini sawa na haziwezi kutamba kwa dola ya Marekani inayopanda.
Dola ya Marekani ilifanya kazi vizuri zaidi kuliko sarafu zote za ndani mwaka wa 2025 na kuchukua nafasi ya kwanza katika masoko ya sarafu. USD sasa imefikia kiwango cha juu cha 109.30 katika faharasa ya DXY na inaweza kupindukia kiwango chake cha juu cha 109.53. Sarafu za wanachama wa BRICS ndizo zilizoathirika zaidi licha ya muungano huo kusukuma ajenda yao ya kuondoa dola ya Marekani ili kuishusha thamani.
BRICS: US Dollar Remains in High Demand, De-Dollarization Failing
The BRICS de-dollarization agenda is failing as the US dollar is growing stronger in 2025 and reached 109.30 in the DXY index.watcher.guru
Mna export nini nyie mkijilinganisha na hao China na India au mna export upumbavu wenuKwa hiyo tuna advantage kwa TZS kuwa very far weaker than USD? Hebu dadavua mchumi first class!
Pole ndugu kwa kumjibu huyo popoma wa uchumi yeye anajua tu kuimba usa .. usa mamtoni hajui watu huko wanateseka na infarion ya kama matikeo ya pesa yaoNchi kama India na China sarafu zao kuwa chini ya dollar huoni kwamba ni advantages kwa hizo nchi?
Hivi nyie wenzetu mna ABC za uchumi?
Ungesema mwamba GDP ya India au China imeshuka hapo ningekuelewa. Au export zao zimeshuka hapo ningekuelewa.
Hivi unakumbuka kipindi kile Trump ni president alikuwa analalamika kwa kitendo cha China kushusha curency yake na kusema inaondoa trade competitiveness.. unakumbuka?
Embu jifunze kwanza elementary economics.
Western propaganda hazijawahi kuwa na mazuri . Ni hao hao waliokuwa wanadai eti ukrain inashindaMimi nimeleta taarifa iliyoandikwa na jarida hilo hapo sasa kunikosoa kwamba sijui ABC ya uchumi ni kuonyesha jinsi watu mlivyo na upeo mdogo na hii yote ni kwa sababu kuna watu humu wakiona habari yoyote wanayoona inaelekea kuifagilia Marekani basi wenyewe huchangia kwa misingi ya kidini wakilenga kuiponda hiyo taarifa.
Hizi imani za kidini zinakuwa na mwitikio mbovu sana kwa jamii ya kitanzania kwani huwafanya wasidadavue mambo kwa uhalisia wake.
Umesema vyemaBRICS HAIPO KWA LENGO LA KUIANGUSHA DOLA.
Nashkuru Mh Xi. sikutegemea kukukuta JF 😂Umesema vyema
Nashkuru Mh Xi. sikutegemea kukukuta JF 😂
Watu wanadhani currency yako ikiwa na thamani kubwa kuliko dola then na uchumi wako uko hohehahe, kujua vitu nusu nusu ni sawa na kuramba sumu tu. Kama hutegemea ku import zaidi na una export sana then currency valve is issue ki vile. India na China wanauza zaidi kuliko kununua, viwanda vikubwa duniani vinawekeza kwao and hence Wahindi na Wachina wana nunua bidhaa kwa currency zao, huwezi kulinganisha na nchi kama za kwetu ambazo hadi chupi, toothpick, pamba za kutolea nta masikio tunaagiza kutoka nje; poor usNchi kama India na China sarafu zao kuwa chini ya dollar huoni kwamba ni advantages kwa hizo nchi?
Hivi nyie wenzetu mna ABC za uchumi?
Ungesema mwamba GDP ya India au China imeshuka hapo ningekuelewa. Au export zao zimeshuka hapo ningekuelewa.
Hivi unakumbuka kipindi kile Trump ni president alikuwa analalamika kwa kitendo cha China kushusha curency yake na kusema inaondoa trade competitiveness.. unakumbuka?
Embu jifunze kwanza elementary economics.
Wacha weeee! Mmarekani mweusi wa Rufiji.Mada imekukera! Kuwa tayari kusikia habari usizozipenda huo ndio uungwana.
Asante kwa SSH kushusha dola na sasa umepandisha. Makofi kwake😀😀😀Western propaganda hazijawahi kuwa na mazuri . Ni hao hao waliokuwa wanadai eti ukrain inashinda
Wewe acha kujifyatua akili hapa,hakuna aliyejadili hii mada kwa misingi ya udini,bila shaka wewe ndio umeileta hii thd kwa misingi hiyo ndio maana unajishtukia,nyuzi zako nyingi hapa JF zina maudhui ya chuki ya udini,Mimi nimeleta taarifa iliyoandikwa na jarida hilo hapo sasa kunikosoa kwamba sijui ABC ya uchumi ni kuonyesha jinsi watu mlivyo na upeo mdogo na hii yote ni kwa sababu kuna watu humu wakiona habari yoyote wanayoona inaelekea kuifagilia Marekani basi wenyewe huchangia kwa misingi ya kidini wakilenga kuiponda hiyo taarifa.
Hizi imani za kidini zinakuwa na mwitikio mbovu sana kwa jamii ya kitanzania kwani huwafanya wasidadavue mambo kwa uhalisia wake.