Dokezo la Kisera kwa Ajili ya Baraza la Mawaziri Kupinga Unyanyasaji wa Kisiasa Dhidi ya Wauzaji wa Huduma za Ngono Nchini

Doctor Mama Amon

JF-Expert Member
Mar 30, 2018
2,057
2,621

RC Albert Chalamila akitangaza OPeresheni Dada Poa, MKoani Dar

1. Usuli

Tarehe 31 Oktoba 2023 Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, aliagiza vyombo vya ulinzi na usalama kuanza msako wa makahaba, kufunga biashara za masaji zinazotumika kama madanguro, na kuvunja nyumba zinazotumiwa kama madanguro.

Kisha, tarehe 04 Novemba 2023, Chalamila alikwenda Mwananyamala kuongoza operesheni ya kubomoa baadhi ya nyumba alizosema ni madanguro. RC Chalamila alisema operesheni hiyo ni endelevu katika mkoa mzima wa Dar es Salaam.

Na hatimaye usiku wa tarehe 29 Novemba 2023, mapolisi wawili wa kituo cha Mabatini, Wilaya ya Kinondoni, Jijini Dar es Salaam, walianza kutekeleza maagizo ya RC Chalamila kwa kuvamia baa ya Boardroom iliyoko Kata ya Sinza, eneo la Sinza Mapambano, Mtaa wa Nginana, wakisaka makahaba.

Na sasa, Kama ambavyo video inaonyesha hapo juu, Mwalimu Albert Chalamila amewaagiza ma-DC wote wa Dar es Salaam kuendesha oparesheni ya kuwakamata Wauzaji wa Huduma za Ngono, yaani makahaba, kama anavyofanya DC wa Ubungo, Hassan Bomboko, huku akisisitiza kuwa hili litakuwa ni zoezi endelevu mkoani Dar es salaam ili kukomesha vitendo vya uvunjaji wa maadili ya ngono.

Nikiwa napinga agizo lake kwa hoja, lakini bila kumpinga yeye binafsi, lifuatalo ni dokezo la kisera kusisitiza ukweli kwamba, makahaba ni wanawake waliohoi kiuchumi na kijamii, wenye kuhitaji uwezeshwaji wa kiuchumi kupitia program za uingiliaji kati kwa ajili ya kuwainua watu wanyonge (afirmative action programs) zilizowalenga moja kwa moja, badala ya kuwaongezea maumivu ya maisha kwa njia ya unyanyasaji wa kisiasa unaofanywa na vyombo vya dola, mkoani Dar es Salaam.

2. Utangulizi: Kuna tatizo gani?

Mwaka 2018 hayati Rais Magufuli alimteua Jokate Mwegelo kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe. Huyu ni binti aliyekuwa anafanya ukahaba wa kuitwa kwa simu na kwenda nyumbani kwa wateja ("call girl"), akiwa ni kahaba mwenye bei kubwa kuliko makahaba wote nchini Tanzania wakati huo.

Malipo yake yalikuwa Milioni tatu kwa usiku mmoja, dalali wake mkuu ("pimp") wakati huo alikuwa ni Steve Nyerere. Nakumbuka, wiki moja kabla ya kuteuliwa kuwa DC Jokate alilala Bunju kwa mfanyabiashara mmoja, mwenye asili ya Kiarabu, Bwana Salum, na kuvuta malipo yake hayo.

Uamuzi wa Rais Magufuli uliwakera Wakuu wa Idara ya Ukachero waliokuwa wameshauri kinyume, uliwashangaza wananchi tuliokuwa tunajua maisha binafsi ya Jokate Mwogelo, na uliwafurahisha wanafamilia ya Mwegelo, waliopambana kuhakikisha binti yao anapata hizo Milioni tatu kihalali, kupitia uwezeshwaji wa kisiasa kwa njia ya uteuzi wa Rais.

Mama yake Jokate, Bernadeta Magavilla Ndunguru, ambaye amewahi kuwa Mkuu wa Chuo cha VETA Chang'ombe (Dar) alipigana sana kuhakikisha binti yake anarudi kwenye mstari. Wasiofahamu mambo haya walikurupuka na kuhitimisha kwamba hata Rais Magufuli alikuwa mteja wake Jokate.

Jokate Mwegelo (1987) alikuwa ni mwigizaji wa filamu, mjasiriamali, akifanya kazi kama Afisa Mtendaji Mkuu wa kampuni yake ya Kidoti Company. Vilevile, alikuwa mtangazaji na mwimbaji wa Kwaya katika Kanisa na Mt. Petro, Oysterbay, jijini Dar eas Salaam.

Ni mzaliwa na mkazi wa Masaki, meta 100 kutoka Ubalozi wa Ufaransa, upande wa pili wa barabara. Baada ya utezi ule, sasa Jokate ametulia, ni mama wa mtoto mmoja na kiongozi mkubwa wa Kitaifa.

Sijasikia tena habari zake za kuzunguka kwenye makazi ya wateja wake. Dawa ni uwezeshaji. Kuna uwezeshaji wa kisiasa, kiuchumi na kijamii. Yeye JOkate amekarabatiwa kupitia uwezeshaji wa kisiasa.

1719310156945.png


3. Utaratibu wa utafiti

Utafiti huu umefanyika kwa kupitia maandiko na kuongea na watu mbalimbali. Maswali ya msingi yalikuwa haya: Ukahaba ni kitu gani na sio kitu gani? Sabababu za ukahaba ni zipi? Sheria zetu zinasema nini kuhusu ukahaba? Tiba ya tatizo la ukahaba ni zipi mbali na uwezeshwaji wa kisiasa uliomtibu Jokate?

4. Matokeo ya Utafiti

Utafiti huu unaonyesha kwamba, mkoani Dar es Salaam na kwenye miji na majiji mengine ya Tanzania, kina Jokate ni wengi. Kuna mabaamedi; wafagiaji wa maofisi; makatibu muhtasi; wanavyuo, walimu, manesi, wanasiasa, na wanawake baki, wengi wao wakiwa wanataka maisha mazuri, na vitu vyenye thamni kama vile simu nzuri mithili ya I-Phone yenye macho matatu.

Kadhalika kuna kina mama wananyonyesha, lakini hawana matunzo ya watoto; hivyo wanauza huduma ya ngono ili waweze kuwalewa watoto hawa.

Pia kuna kuna kina mama wengi wasio na kipato cha uhakika na waliopanga vyumba sehemu mbalimbali mijini. Wanafanya biashara ndogo ndogo. Kipato chao hakizidi TZS 200,000/= kwa mwezi. Hivyo, wanajiongezea kipato kwa njia ya kuuza huduma ya ngoono baada ya kazi. Orodha ni ndefu, na kila mtu anazo changamoto za kipekee.

Kwa ujumla, wanawake hawa japo wanatofautiana kwa viwango, wote wanafananishwa na jmbo moja: wanazo changamoto za kiuchumi zinazowasukuma kuuza huduma ya ngono, kwa kuwa hawana vyanzo mbadala vya kipato vilivyo bora zaidi.

Ukiwauliza makahaba wengi kama wako tayari watoto wao wafanye kazi kama yao, jawabu ni "hapana." Hivyo, ni kazi wanaifanya kwa shingo upande. Wanachohitaji ni programu za uingiliaji kati kwa ajili ya kuwainua watu wanyinge (afirmative action programs) zinazowalenga moja kwa moja.

Bahati mbaya, kwa sasa, hakuna program za uingiliaji kati kwa ajili ya kuwainua watu wanyinge (afirmative action programs) zilizowalenga moja kwa moja, japo Tanzania kuna programu nyingi za aina hiyo.

Mfano, kuna "Women, Youth and People With Disabilities Fund" inayotekelezwa katika kila Hamlashauri kwa kutenga asilimia 10 kila mwaka; Kuna Benki ya Wanawake; Na kuna Mfuko wa Taifa wa Uwezeshaji.

Programu zote hizi zinawanufaisha wanawake wasio na changamoto kama walizo nazo makahaba. Wanufaika wakuu ni wanawake ambao tayari wanajiweza, wakiwemo Ma-DC, ma-RC, Mawaziri, Wakuu wa Mikoa, na watu kama hao. Wanachota fedha yote inakwisha kabla walengwa hawajafikiwa.

Mfano hai ni Benki ya Wanawake. Benki hii sasa inakufa kwa sababu hii, hata kabla haijamfaidisha hata kahaba mmoja. Hata mfuko wa "Women, Youth and People With Disabilities Fund" umevamiwa na unayumba. Ripoti za CAG zimeshaweka bayana ukweli huu.

Kunahitajika mageuzi katika namna yetu ya kupanga, kutekeleza na kusimamia program za uingiliaji kati kwa ajili ya kuwainua watu wanyinge (afirmative action programs) zilizowalenga wanawake wanyonge moja kwa moja.

1719310196919.png


Na kuhusu sheria zetu zinasema nini kuhusu ukahaba, niligundua kwamba, kila nchi inazo sheria zake kuhusu namna ya kudhibiti biashara ya ukahaba. Kwa ufupi, sheria za nchi zote zinagawanyika katika makundi matano kama ifuatavyo:

(1) criminalize buying and selling of sex, as well as related activities such as street walking, kerb crawling, pimping, and brothel-keeping (the policy in most U.S. jurisdictions except Nevada State).
(2) criminalize buying and brokering of sex, including brothel-keeping, but not the people who sell sex (i.e. prostitutes). (the policy in Sweden, Norway, Iceland, Finland, Northern Ireland, Canada, and, most recently, France).
(3) don’t criminalize any prostitution-related activities other than trafficking and forced prostitution, but license, impose age limitations and regulate matters of health and safety (the policy in Germany, the Netherlands, New Zealand, and Nevada).
(4) criminalize pimping and brothel-keeping, but don’t criminalize the purchase or sale of sex as such or other activities by sellers (the policy in Denmark and Israel); and
(5) criminalize prostitution-related activities such as living on earnings of prostitution, street walking, kerb crawling, pimping, and brothel-keeping, but don’t criminalize the buying or selling of sex as such (the policy in England, Wales, Scotland, India and Tanzania)

Tanzania tuko katika kundi namba (5) kwa kuwa tunaamini kwamba, kifalsafa, hakuna sababu nzuri inayoweza kutumika kuhalalisha ujinaishwaji wa ukahaba kama uhakaba. Na kwa kuwa nchi yetu haina dini, sababu za kidini sio, na hazipaswi kuwa, chimbuko la sheria za nchi.

Hivyo, kwa hapa Tanzania, vifungu vya sheria zetu vinavyohusu ukahaba vinasomeka kama ifuatavyo:

145(1)(a) Mwanaume ambaye kwa kufahamu anaishi kwa kutegemea kipato au sehemu ya kipato chake anakipata kutokana na biashara ya ukahaba... anafanya kosa.
146A. Mwanamke ambaye akiwa anafahamu anaishi akiwa akitegemea kipato chake au sehemu ya kipato chake kutokana na ukahaba, kwa ajili ya kuishi, ana mamlaka, au anashawishi juu ya mwenendo wa kahaba kwa namna hiyo ili kuonyesha kuwa anasaidia, anashawishi au kumlazimisha mwanamke huyo kufanya ukahaba na mtu yeyote, anatenda kosa.
148. Mtu yeyote ambaye ametenga nyumba, chumba, vyumba au sehemu yoyote kwa nia ya ukahaba, anatenda kosa.

Kwa hiyo, ni wazi kwamba, ukahaba kama ukahaba, sio kosa la jinai nchini Tanzania.

Katika mazingira haya, mwanasiasa, kama vile RC au DC anayeanzisha "operesheni kamata makahaba" anakuwa anafukuza upepo, maana hana msingi wa kisheria wa kuongoza maamuzi yake. Anakuwa anafanya ukatili wa kisiasa dhidi ya hawa mabinti na kina mama.

Hivyo, serikali inapaswa kutatua matatizo kwa kuangalia chimbuko lake na sio kufanya propaganda za kisiasa katika masuala yanayohitaji utafiti wa kisayansi.

1719379988181.png

Hassan Bomboko, DC wa Ubungo

Aidha, utafiti huu umebaini kuwa kuna mitindo anwai ya maisha ya kingono. Mfano, kuna:
  • Mitindo ya maisha ya kingono inaokubali ndoa ya mke mmoja mume mmoja,
  • Mitindo ya maisha ya kingono inaokubali ndoa za mume mmoja wake wengi,
  • Mitindo ya maisha ya kingono inayokubali ngono kama zawadi,
  • Mitindo ya maisha ya kingono inayokubali ngono kama ibada,
  • Mitindo ya maisha ya kingono inayokubali ngono kama shukrani,
  • Mitindo ya maisha ya kingono inayokubali ngono kama mazoezi ya mwili,
  • Mitindo ya maisha ya kingono inayokubali ngono kama burudani,
  • Mitindo ya maisha ya kingono inayokubali ngono kama faraja,
  • Mitindo ya maisha ya kingono inayokubali mwanamke mmoja mwenye wapenzi wengi wa kiume,
  • Mitindo ya maisha ya kingono inayokubali mwanamume mmoja mwenye wapenzi wengi wa kike,
  • Mitindo ya maisha ya kingono inayokubali biashara ya ngono inayofanyika kwa malipo ya fedha taslimu (cash-for-sex transactions)
  • Mitindo ya maisha ya kingono inayokubali biashara ya ngono inayofanyika kwa njia ya mabadilishano ya mali na huduma ya ngono (Gift-for-Sex transactions). Aina hii ya ukahaba ni kubwa zaidi na imeenea hadi Ikulu.
  • Na orodha inaendelea.
5. Mapendekezo ya Kisera

Mapendekezo kadhaa yanahusika:

Mosi, badala ya kutumia rasilimali za serikali kukimbizana na wauza huduma za ngono barabarani, serikali ijielekeze kwenye ukweli halisi. Wauzaji wa huduma za ngono walioko barabarani ni asilimia tano pekee. Asilimia 95 wako maofisini, serikalini, kwenye vyama vya siasa, kwenye makampuni binafsi. Watafutwe wasaidiwe kimkakati. Yaani, zianzishwe programu za uingiliaji kati (afirmative action programs) zinazowalenga moja kwa moja makahaba.

Pili, Vigogo wa kike waliochota fedha za Benkio ya wanawake wabanwe ili wazirudishe kisha fedha hizo zielekezwe kwenye programu za uingiliaji kati (afirmative action programs) zinazowalenga moja kwa moja makahaba.

Tatu, Halmashauri ambazo bado zinadaiwa fedha zinazopaswa kuingizwa kwenye mfuko wa wanawake, vijana na walemavu zibanwe ili fedha hizo zipatikane na kuingizwa kwa mfuko huo, na kisha zielekezwe kwenye programu za uingiliaji kati (afirmative action programs) zinazowalenga moja kwa moja makahaba. Wanawake wenye uhitaji mkubwa wapewe kipaumbele.

Nne, ziangaliwe sababu za kijamii zinazozalisha wateja wa wauzaji wa huduma za ngono. Utafiti ufanyike ili kujua kwa nini wanaume wengi, wakiwemo wanaume walio ndani ya ndoa, wako tayari kunununua "huduma za ngono" zinazouzwa na makahaba. Ushauri wa Mzee Yusuph Makamba hapa unahusika. Nawasilisha.

Tano, Rais anapopanga safu zake aangalie "compatibility" kati ya wateule wake na maeneo anakowapeleka. Sio sawa kumteua mtu awe RC wa Dar es Salaam, au DC wa Kinondoni, wakati bado anayo mind-set ya Sumbawanga.

Mijini kuna "urban culture" yake, na viongozi wanapokuwa wanaongea na wananchi wao lazima wawe makini na jambo hili. Vinginevyo, kila kukicha watu wanakutana na kauli ambazo zinajeruhi "urban cultural sensibilities" kiasi cha kuwafanya wananchi waanze kujiuliza, "huyu kiongozi wetu vipi tena, mbona mshamba kiasi hiki?"

Sita, Viongozi wa serikali wajitahidi kuwa na vipaumbele sahihi katika utendaji kazi wao. Kwa sasa, mfano, Dar es Salaam kuna changamoto ya foleni, asubuhi na jioni. Foleni zinatesa abria kwa kuwa barabara za juu zilizoahidiwa Fire, Morocco na kwingineko bado.

Masoko yote ni machafu yakiwemo masoko ya Kuku Manzese na Shekilango. MItaro ya maji imeziba kuanzia Upanga East hadi Upanga West. Barabara zina matuta kila mtaa yakiwazuia madereva wa bodaboda kufanya kazi zao. Halafu RC anaibuka na 'Operesheni Kamata Dada Poa." Huu ni usanii wa hatari. Naona kwamba, RC Chalamila na ma-DC wake hawatoshi katika ofisi zao. Rais atupie jicho huko haraka.

Saba, serikali iachane na tabia ya kukurupuka kukamata wanawake kwa tuhuma za kufanya umalaya wakati, kwa mujibu wa sheria zetu, prostitution per se sio kosa la jinai.

Nane, serikali inapaswa kufahamu kuwa suala la maadili ya ngono kwenye Taifa la watu mseto halina fomula moja kuhusu maadili ya ngono. Mambo ya mijini yaachwe yalivyo. Mzee Yusuph Makamba, RC mstaafu wa Dar es Salaam, amesisitiza ukweli huu (tazama video hapa chini).

1719311021147.png



1719311276857.png


1719319514323.png


Mzee Yusuph Makamba asemavyo kuhusu ukahaba...

6. Marejeo muhimu
  • Irene Fedorova and Five Others (2013), Love as a Fictitious Commodity: Gift-for-Sex Barters as Contractual Carriers of Intimacy," Sexuality & Culture, 17:598–616.
  • Rob Lovering (2021), A moral Defense of Prostitution (New York: Palgrave MacMillan)
  • URT, Penal Code, CAP 16, RE 2002.

Dr. Mama Amon,
"Sumbawanga Town,"
P. O. Box P/Bag,
Sumbawanga,
Tanzania.
25 Juni 2024.
 
View attachment 3025679
RC Albert Chalamila akitangaza OPeresheni Dada Poa, MKoani Dar

1. Usuli

Kuna taarifa kwamba, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mwalimu Albert Chalamila ametoa msimamo wa kusisitiza kwamba suala la oparesheni ya kuwakamata Wauzaji wa Huduma za Ngono, yaani makahaba, lililoanzishwa na DC wa Ubungo, Hassan Bomboko, ni zoezi endelevu, kwa maana kwamba, litaendelea kufanywa na Wakuu wote wa Wilaya za Dar es salaam ili kukomesha vitendo vya uvunjaji wa maadili ya ngono mkoani Dar es Salaam.

Dhidi ya tamko hili, lifuatalo ni dokezo la kisera kusisitiza ukweli kwamba, makahaba ni wanawake waliohoi kiuchumi na kijamii, wenye kuhitaji uwezeshwaji wa kiuchumi kupitia program za uingiliaji kati (afirmative action programs) zilizowalenga moja kwa moja, badala ya kuwaongezea maumivu ya maisha kwa njia ya unyanyasaji wa kisiasa unaofanywa na vyombo vya dola, mkoani Dar es Salaam.

2. Utangulizi: Kuna tatizo gani?

Mwaka 2018 hayati Rais Magufuli alimteua Jokate Mwegelo kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe. Huyu ni binti aliyekuwa anafanya ukahaba wa kuitwa kwa simu na kwenda nyumbani kwa wateja ("call girl") mwenye bei kubwa kuliko makahaba wote nchini Tanzania wakati huo. Malipo yake yalikuwa Milioni tatu kwa usiku mmoja, dalali wake ("pimp") mkuu wakati huo alikuwa ni Steve Nyerere. Mfano, wiki moja kabla ya uteuzi kuwa DC alilala Bunju kwa mfanyabiashara mmoja, mwenye asili ya Kiarabu, na kuvuta malipo yake hapo.

Uamuzi wa Rais Magufuli uliwachefua Wakuu wa Idara ya Ukachero waliokuwa wameshauri kinyume, uliwashangaza wananchi tuliokuwa tunajua maisha binafsi ya Jokate Mwogelo, na uliwafurahisha wanafamilia ya Mwegelo, waliopambana kuhakikisha binti yao anapata hizo Milioni tatu kihalali, kupitia uwezeshwaji wa kisiasa kwa njia ya uteuzi wa Rais.

Mama yake ambaye amewahi kuwa Mkuu wa Chuo cha VETA Chang'ombe alipigana sana kuhakikisha binti yake anarudi kwenye mstari. Wasiofahamu mambo haya walikurupuka na kuhitimisha kwamba hata Rais Magufuli alikuwa mteja wake Jokate.

Jokate Mwegelo (1987) alikuwa ni mwigizaji wa filamu, mjasiriamali, akifanya kazi kama Afisa Mtendaji Mkuu wa kampuni yake ya Kidoti Company. Vilevile, alikuwa mtangazaji na mwimbaji wa Kwaya katika Kanisa na Mt. Petro, Oysterbay, jijini Dar eas Salaam.

Ni mzaliwa na mkazi wa Masaki, meta 100 kutoka Ubalozi wa Ufaransa, upande wa pili wa barabara. Baada ya utezi ule, sasa Jokate ametulia, ni mama wa mtoto mmoja na kiongozi mkubwa wa Kitaifa.

Sijasikia tena habari zake za kuzunguka kwenye makazi ya wateja wake. Dawa ni uwezeshaji. Kuna uwezeshaji wa kisiasa, kiuchumi na kijamii. Yeye JOkate amekarabatiwa kupitia uwezeshaji wa kisiasa.

View attachment 3025681

3. Utaratibu wa utafiti

Utafiti huu umefanyika kwa kupitia maandiko na kuongea na watu mbalimbali. Maswali ya msingi yalikuwa haya: Ukahaba ni kitu gani na sio kitu gani? Sabababu za ukahaba ni zipi? Tiba ya tatizo la ukahaba ni zipi mbali na uwezeshwaji wa kisiasa uliomtibu Jokate?

4. Matokeo ya Utafiti

Utafiti huu unaonyesha kwamba, mkoani Dar es Salaam na kwenye miji na majiji mengine ya Tanzania, kina Jokate ni wengi. Kuna mabaamedi; wafagiaji wa maofisil; makatibu muhtasa; wanavyuo, walimu, manesi, wanasiasa, na wanawake bakim wengi wao wakiwa wanataka maisha mazuri, na vitu vyenye thamni kama vile simu nzuri za vile I-Phone yenye macho matatu.

Pia kuna kuna kina mama wasio na kipato na waliopanga vyumba sehemu mbalimbali mijini. Wanafanya biashara ndogo ndogo na kujiongezea kipato kwa njia ya kuuza huduma ya ngoono baada ya kazi. Orodha ni ndefu, na kila mtu anazo changamoto za kipekee.

Kwa ujumla, wanawake hawa japo wanatofautiana kwa viwango, wote wanafananishwa na jmbo moja: wanazo changamoto za kiuchumi zinazowasukuma kuuza huduma ya ngono, kwa kuwa hawana vyanzo mbadala vya kipato vilivyo bora zaidi.

Ukiwauliza makahaba wengi kama wako tayari watoto wao wafanye kazi kama yao, jawabu ni "hapana." Hivyo, wanachohitaji ni programu za uingiliaji kati (afirmative action programs) zinazowalenga moja kwa moja.

Bahati mbaya, kwa sasa, hakuna program za uingiliaji kati (afirmative action programs) zilizowalenga moja kwa moja, japo Tanzania kuna programu nyingi za aina hiyo. Mfano, kuna "Women, Youth and People With Disabilities Fund" inayotekelezwa katika kila Hamlashauri kwa kutenga asilimia 10 kila mwaka; Kuna Benki ya Wanawake; Na kuna Mfuko wa Taifa wa Uwezeshaji.

Programu zote hizi zinawanufaisha wanawake wasio na changamoto kama walizo nazo makahaba. Wanufaika wakuu ni wanawake ambao tayari wanajiweza, wakiwemo Ma-DC, ma-RC, Mawaziri, Wakuu wa Mikoa, na watu kama hao. Wanachota fedha yote inakwisha kabla walengwa hawajafikiwa.

Mfano hai ni Benki ya Wanawake. Benki hii sasa inakufa kwa sababu hii, hata kabla haijamfaidisha hata kahaba mmoja. Kunahitajika mageuzi katika namna yetu ya kupanga, kutekeleza na kusimamia program za uingiliaji kati (afirmative action programs) zilizowalenga wanawake wanyonge moja kwa moja. Hata mfuko wa "Women, Youth and People With Disabilities Fund" umevamiwa na unayumba. Ripoti za CAG zimeshaweka bayana ukweli huu.

Katika mazingira haya, mwanasiasa, kama vile RC au DC anayeanzisha "operesheni kamata makahaba" anakuwa anafukuza upepo. Serikali inapaswa kutatua matatizo kwa kuangalia chimbuko lake na sio kufanya propaganda za kisiasa katika masuala yanayohitaji utafiti wa kisayansi.

View attachment 3025682

5. Mapendekezo ya Kisera

Mapendekezo kadhaa yanahusika:

Mosi, badala ya kutumia rasilimali za serikali kukimbizana na wauza huduma za ngono barabarani, serikali ijielekeze kwenye ukweli halisi. Wauzaji wa huduma za ngono walioko barabarani ni asilimia tano pekee. Asilimia 95 wako maofisini, serikalini, kwenye vyama vya siasa, kwenye makampuni binafsi. Watafutwe wasaidiwe kimkakati. Yaani, zianzishwe programu za uingiliaji kati (afirmative action programs) zinazowalenga moja kwa moja makahaba.

Pili, ziangaliwe sababu za kijamii zinazozalisha wateja wa wauzaji wa huduma za ngono. Utafiti ufanyike ili kujua kwa nini wanaume wengi, wakiwemo wanaume walio ndani ya ndoa, wako tayari kunununua "huduma za ngono" zinazouzwa na makahaba. Ushauri wa Mzee Yusuph Makamba hapa unahusika. Nawasilisha.

Tatu, Rais anapopanga safu zake aangalie "compatibility" kati ya wateule wake na maeneo anakowapeleka. Sio sawa kumteua mtu awe RC wa Dar es Salaam, au DC wa Kinondoni, wakati bado anayo mind-set ya Sumbawanga.

Huku mjini kuna "urban culture" yake, na viongozi wanapokuwa wanaongea na wananchi wao lazima wawe makini na jambo hili. Vinginevyo, kila kukicha watu wanakutana na kauli ambazo zinajeruhi "urban cultural sensibilities" kiasi cha kuwafanya wananchi waanze kujiuliza, "huyu kiongozi wetu vipi tena, mbona mshamba kiasi hiki?"

Na nne, Viongozi wa serikali wajitahidi kuwa na vipaumbele sahihi katika utendaji kazi wao. Kwa sasa, mfano, Dar es Salaam kuna changamoto ya foleni, asubuhi na jioni. Barabara za juu zilizoahidiwa Fire, Morocco na kwingineko bado.

Masoko yote ni machafu yakiwemo masoko ya Kuku Manzese na Shekilango. MItaro ya maji imeziba kuanzia Upanga East hadi Upanga West. Halafu RC anaibuka na 'Operesheni Kamata Dada Poa." Huu ni usanii. RC Chalamila na ma-DC wake hawatoshi katika ofisi zao. Rais atupie jicho huko haraka.

Dr. Mama Amon,
"Sumbawanga Town,"
P. O. Box P/Bag,
Sumbawanga,
Tanzania.
25 Juni 2024.
Halafu mnataka haki sawa wakati mnatetea ukahaba.Halafu kama ni kuwawezesha madada poa (makahaba) basi Serikali iwateue makahaba wote nchini iwape vyeo vya Ukurugenzi,Ukuu wa Wilaya,Ukuu wa Mkoa,Utendaji vijiji na kata ili tuone kama nchi itaendelea.
 
Tulishakubaliana kuwa Tanzania ni channel ya kichekesho ulimwenguni kote 🤒😎

Wanadeal na jambo ambalo kiukweli na kiuhalisia wa sasa hivi linafanywa kwa namna ya tofauti kabisa na hiyo wanayo hangaika kuizima wao(wastage of time).
 
Aisee, umemtuhumu mtu kwa tuhuma nzito bila chembe ya ushahidi. Basi walau badilisha hapo kwenye jina weka tu DC kijana maarufu na mwigizaji wa zamani, mtoto wa balozi. Poa ondoa picha zake.

Inawezekana tuhuma zako dhidi ya huyu mwanamke ni za kwali lakini sio kwa namna hii.

Tukirudi kwenye mada, kwa ujumla andiko lako ni zuri na umetoa hoja za msingi, serikali isipoteze fedha kukimbizana na symptoms badala yake ijikite kwenye kutatua mzizi wa tatizo ambao ni hali mbaya ya kiuchumi ya hao makahaba.

Pia DC na RC wanapaswa kupumzishwa, kwasababu wameitia hasara serikali. Ile kesi wale madada wote wanashinda, ni vigumu sana kuthibitisha mahakamani kuwa mtu amefanya ukahaba, hawatoi risiti hao.
 
Hiki kizazi cha SODOMA kimelaaniwa. Jitu zima na akili zake linapoteza muda kutetea upumbavu na ufirauni usiopaswa hata kutizamwa kwa nusu chembe. Acheni kutetea zinaaa mtalaaniwa na kizazi chenu pimbi nyie.
Hosea 1:2 "BWANA alipoanza kusema neno lake kupitia Hosea, BWANA alimwambia hivi Hosea: “Nenda, muoe mwanamke kahaba na uzae watoto wa ukahaba, kwa sababu nchi imeacha kabisa kumfuata BWANA kwa sababu ya ukahaba"".
 
Hiki kizazi cha SODOMA kimelaaniwa. Jitu zima na akili zake linapoteza muda kutetea upumbavu na ufirauni usiopaswa hata kutizamwa kwa nusu chembe. Acheni kutetea zinaaa mtalaaniwa na kizazi chenu pimbi nyie.

Hakuna aliyewahi kuumaliza ukahaba Duniani. Ndiyo maana, mpaka leo hii, hakuna hata nchi moja Duniani isiyo na makahaba. Ukahaba ni suala la kimaadili. Masuala ya kimaadili yaachwe na kusisitizwa kwenye malezi ya familia na kwenye dini zetu.

Baadhi ya nchi za kiarabu, ukahaba una adhabu kali ya kifo lakini ukahaba bado upo, japo unafanywa kwa siri sana. Tena makahaba wanapatikana kwa urahisi kuliko hata ambako hawafuatiliwi. Kule Iran, watu wanawapata makahaba kwa ishara tu za macho. Watu wanapishana, hawajibishani, wanapeana ishara za macho, mwanaume anataja tu mahali pa kukutana, na mwanamke tayari amepatikana, na ukahaba unaendelea. Airport kama ya King Khalid, kule Riyadh, unatoka nje ya uwanja wa ndege, unafuatwa na wanaume, wanakuuliza kama unataka pombe au mwanamke, wajulishe hoteli ulikofikia, watakuletea.

Hiyo yote ni kuthibitisha kuwa suala la biashara ya ngono limekuwepo enzi na enzi, na hakuna nchi iliyoweza kukomesha. Kutoitambua biashara hiyo inatosha. Mambo mengine yaachwe kwenye familia na viongozi wa dini.
 
Aise, kwamba hii ndiyo nafasi ya Tivu ake kwenye chama na serikali.
Kwamba Tivu ake akitumika vizuri anaweza kuiangusha Serikali na chama.
 
Back
Top Bottom