Ile ile ya awamu ya tano!Kampun Gan Imepewa Tenda?
Nimeifaadhi hizo picha km ushahidi, naomba kilichoonyeshwa hapo ndicho tuje tukione baada ya kukamilika ujenzi huo.Zabuni ya ujenzi wa Stendi ya Mabasi ya kisasa na soko la Kimataifa vimeshatangazwa kuwakaribisha wakandarasi kuwasilisha maombi ya ujenzi.
Hivi ndivyo Dodoma inavyokwenda kuwa ndani ya muda mfupi.Tunategemea kuongeza nafasi nyingi zaidi za Ajira kupitia uendeshaji wa Stendi na Mabasi.
Imetolewa Na Mh Antony mavunde
View attachment 676342
View attachment 676343
View attachment 676344
View attachment 676345
View attachment 676346
View attachment 676347
View attachment 676348
View attachment 676349
Mloganzila Hospital..Nimeifaadhi hizo picha km ushahidi, naomba kilichoonyeshwa hapo ndicho tuje tukione baada ya kukamilika ujenzi huo.
USIPUNGUZE WALA KUONGEZA NDICHO TUNACHOTAKA HAPO KWA UBORA HUOHUO,KWANI MARA NYINGI TUMEONA UHALISIA KUWA KITU CHA KM KUFIKIRIKA.
Huu mradi unatekelezwa chini ya WB kupitia Mradidi wa TSCP ambao upo katika miji ya Dodoma Arusha, Mwanza, Kigoma, Mtwara Tanga na Mbeya. Pesa zake zimeshatolewaMorogoro walifanikiwa kwa kutumia PPF, ngoja tuone huko itakuwaje!