DODOMA MPYA: Zabuni ya ujenzi wa Stendi ya Mabasi ya kisasa na soko la Kimataifa vimeshatangazwa

Emc2

JF-Expert Member
Sep 26, 2011
16,808
16,884
Zabuni ya ujenzi wa Stendi ya Mabasi ya kisasa na soko la Kimataifa vimeshatangazwa kuwakaribisha wakandarasi kuwasilisha maombi ya ujenzi.

Hivi ndivyo Dodoma inavyokwenda kuwa ndani ya muda mfupi.Tunategemea kuongeza nafasi nyingi zaidi za Ajira kupitia uendeshaji wa Stendi na Mabasi.

Imetolewa Na Mh Antony mavunde
upload_2018-1-15_19-51-5.png

upload_2018-1-15_19-51-25.png

upload_2018-1-15_19-51-50.png

upload_2018-1-15_19-52-8.png

upload_2018-1-15_19-52-26.png

upload_2018-1-15_19-52-54.png

upload_2018-1-15_19-53-16.png

upload_2018-1-15_19-53-35.png
 
Labda ni consultancy services kwa hiyo idea
We have been much of mere words than vitendo so huwa siamini mipango ya kibongo coz hainaga consistency
 
Ala! Another tuna tuta renders. Hahahahahahaha hii ni Nchi ya Renders however that is a good render kama ile ya bagamoyo.
 
Zabuni ya ujenzi wa Stendi ya Mabasi ya kisasa na soko la Kimataifa vimeshatangazwa kuwakaribisha wakandarasi kuwasilisha maombi ya ujenzi.

Hivi ndivyo Dodoma inavyokwenda kuwa ndani ya muda mfupi.Tunategemea kuongeza nafasi nyingi zaidi za Ajira kupitia uendeshaji wa Stendi na Mabasi.

Imetolewa Na Mh Antony mavunde
View attachment 676342

View attachment 676343

View attachment 676344

View attachment 676345

View attachment 676346

View attachment 676347

View attachment 676348

View attachment 676349
Nimeifaadhi hizo picha km ushahidi, naomba kilichoonyeshwa hapo ndicho tuje tukione baada ya kukamilika ujenzi huo.

USIPUNGUZE WALA KUONGEZA NDICHO TUNACHOTAKA HAPO KWA UBORA HUOHUO,KWANI MARA NYINGI TUMEONA UHALISIA KUWA KITU CHA KM KUFIKIRIKA.
 
Hizi ni ndoto za muda mrefu zilikuwepo HAKUNA KITAKACHOTIMIA
mara walisema Soko litakuwa Medeli mara Makulu
wakati Wananchi wanalowana tu Stand ya zamani iliyobomolewa
lawama zimuendee mkurugenzi wa mji wa Dodoma na Madiwani
walikuwa wapi siku zote kuandaa stand wakaing'ang'ani ya Railway
 
Nimeifaadhi hizo picha km ushahidi, naomba kilichoonyeshwa hapo ndicho tuje tukione baada ya kukamilika ujenzi huo.

USIPUNGUZE WALA KUONGEZA NDICHO TUNACHOTAKA HAPO KWA UBORA HUOHUO,KWANI MARA NYINGI TUMEONA UHALISIA KUWA KITU CHA KM KUFIKIRIKA.
Mloganzila Hospital..

Render
cd9d2d6ebaa5376bf932e660fbebb60f.jpg

Reality

aa4edf2b30ff19b3158b0d7e0a57092e.jpg
 
Hivi ule mchakato wa kuhamisha stand ya ubungo na kujengwa stand ya kisasa mbezi imefia Wapi!
 
Morogoro walifanikiwa kwa kutumia PPF, ngoja tuone huko itakuwaje!
 
Morogoro walifanikiwa kwa kutumia PPF, ngoja tuone huko itakuwaje!
Huu mradi unatekelezwa chini ya WB kupitia Mradidi wa TSCP ambao upo katika miji ya Dodoma Arusha, Mwanza, Kigoma, Mtwara Tanga na Mbeya. Pesa zake zimeshatolewa
 
Back
Top Bottom