Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 29,879
- 21,082
Ndugu zangu Watanzania,
Kama kuna mtu mnapaswa kumpuuza ,kutokumsikiliza na kumkemea vikali wakati huu ni Dkt Slaa. Huyu Mzee ni Muongo sana ,Mchonganishi sana ,kigeugeu sana na anayebadilila kama kinyonga.
Wimbi jaribuni kufuatilia kauli zake za siku ya nyuma ndio muelewe nayoyazungumza hii leo. Huyu Mzee bila ushahidi amewahi kuudanganya Umma hadharani kuwa kuna Kontena linaingiza maboksi ya kura Feki Nchini . Mwisho wa siku baada ya uchunguzi ilikuja kubainika ni uongo na Mzee alikuwa ameudanganya Umma.
Huyu Mzee Kwa Mdomo wake Si mnakumbuka yale aliyazungumza wakati Mbowe amekamatwa kwa kesi ya Ugaidi? Je mnakumbuka yale aliandika kuihusu CHADEMA kwa kila alichoita Nyuma ya Pazia? Je amewahi kukanusha au kuomba msamaha? Je mnakumbuka kile alizungumza kuhusu kupigwa Risasi kwa Lissu?
Mnaanzia wapi kumuamini na kumsikiliza huyu mzee enyi watu? Ninyi mnafikiri ni kwanini watanzania wengi kwa sasa wamempuuza na kupelekea kukosa kabisa ushawishi na nguvu kwa watanzania? Jibu ni kuwa watanzania wamegundua kuwa huyu mzee ni muongo, kigeugeu, Mchonganishi na kinyonga asiye na msimamo zaidi ya kutapatapa tu na kupigania maslahi yake binafsi. Ndio sababu alipopewa Ubalozi alitulia tulii kama Maji mtungini.
Dkt Slaa ni lazima atambue ya kuwa heshima huwa hairudi mara mbili. Aliheshimika na kusikilizwa awali kwa sababu watu walikuwa gizani juu yake. Lakini sasa watu wanajua rangi yake halisi kuwa ni mtu msaliti,muongo, kigeugeu na kinyonga. Hivyo hakuna anayeweza kusikiliza uzushi wake na kumuunga mkono.hakuna wa kumsikiliza wala kupoteza muda wake kutega sikio kusikiliza uongo wake. Kwa sasa yeye atulie tu na kuendelea kujutia makosa yake na kuomba msamaha kwa Mungu wake. Uongo na uzushi hauwezi kumrejeshea heshima aliyoipoteza Mwenyewe.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Lucas Mwashambwa jitu la ccmNdugu zangu Watanzania,

We ndio mkweli!Ndugu zangu Watanzania,

Lete ukweli wenye ushahidi kuupinga uongo wakeNdugu zangu Watanzania,

Kuwa na adabu wee kinyangarakasha.Ndugu zangu Watanzania,

Uchaguzi upo palepale na utafanyika kama ilivyopangwaHASIRA YA NANI NDUGU.NO REFORM NO ELECTION
Wewe ndiye uwe na adabu.Kuwa na adabu wee kinyangarakasha.
Huu mwaka nitaendelea kupinga upotoshaji wenu wa kila aina. Hakuna kufumbia macho uongo,uzushi na uchonganishiHuu mwaka utataga nanasi
Kwani umeona na uliona wapi mzee Slaa akiweka ushahidi wa maneno azungumzayo?Lete ukweli wenye ushahidi kuupinga uongo wake
Ndio.We ndio mkweli!
UsimuigeKwani umeona na uliona wapi mzee Slaa akiweka ushahidi wa maneno azungumzayo?
Ndio mimi ni mwana CCM kindakindaki nisiyefumbia macho uongo ,uzushi na upotoshaji.Lucas Mwashambwa jitu la ccm
Duuh haya bwanaNdio mimi ni mwana CCM kindakindaki nisiyefumbia macho uongo ,uzushi na upotoshaji.
Shit.Wewe ndiye uwe na adabu.
Huyu mzee alishindwa kulinda kiapo cha upandri shauri tu ya tamaa zilizopitilizaNdugu zangu Watanzania,