Tetesi: Dkt Slaa, Msigwa, Silinde, Nassari, Mwambukusi na wenzao wengi wakiwemo Covid 19 kurejea CHADEMA baada ya John Heche kuchukua udhibiti CHADEMA

baada ya mzimu wa hayati Chacha Zakayo Wangwe kurejea ulingoni sio, dah! Ni jambo jema chadema 🐒
 
Mwandishi kaandika kwa umahiri mkubwa ila CHADEMA ya Mbowe ni ADA TADEA iliyochangamka
 
4R for real
 
Heche ataisumbua CCM,

Viongozi wa CCM hakikisheni Heche hawi Mkt wa CHADEMA mtakuja kunishuru
 
Huyu heche haogopi kugusa kiti Cha mfalme Mbowe.
Asome historia ya watu waliowahi kugusa kiti kiliwapata nn na mpaka Sasa wapo wapi
 
John Heche hawezi kupewa Chama chochote akakiomgoza, mtu pekee anayeweza kuongoza Chadema baada ya Mbowe ni Mnyika na sio mtu mwingine..!!
 
Chawa mwerevu!

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…