Pre GE2025 Dkt. Slaa akosa dhamana, kuendelea kusota rumande hadi Januari 23, Kesi ya kusambaza taarifa za Uongo mtandaoni

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Waufukweni

JF-Expert Member
May 16, 2024
1,664
4,482
Kesi ya aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na Mwanasiasa mkongwe, Dkt. Wilbroad Slaa (76) ataendelea kusalia kukaa Mahabusu kwa kukosa dhamana baada ya hii leo Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Jijini Dar es Salaam kuahirisha Kesi yake ya kusambaza taarifa za Uongo kupitia mtandao wa X hadi Januari 23.
Soma, Pia:

-
Kesi ya Dkt. Slaa yapigwa kalenda hadi tarehe 17 Januari 2025

- Dkt. Slaa afikishwa mahakamani Kisutu kwa Shtaka la kusambaza taarifa za Uongo
 
Sawa mawakili wake wazidi kupambana sana na Boni yai alisota sana kwa kesi kama hiyo
Akiwa Balozi angewashawishi wazungu watupige vikwazo vikali sana ili sheria mbovu na mamlaka nje ya utu vikomeshwe nchini ila aliona poa kuwa hayamuhusu na kubeza waliokuwa wanayapambania hadi kuwatungia na kitabu.
Pole sana Dr ndiyo TZ
 
Kesi ya aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na Mwanasiasa mkongwe, Dkt. Wilbroad Slaa (76) ataendelea kusalia kukaa Mahabusu kwa kukosa dhamana baada ya hii leo Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Jijini Dar es Salaam kuahirisha Kesi yake ya kusambaza taarifa za Uongo kupitia mtandao wa X hadi Januari 23.
Soma, Pia:
-
Kesi ya Dkt. Slaa yapigwa kalenda hadi tarehe 17 Januari 2025
- Dkt. Slaa afikishwa mahakamani Kisutu kwa Shtaka la kusambaza taarifa za Uongo
Wacha ajipambanie mwenyewe sasa baada ya kukosa adabu kwa Mbowe aliyekuwa akiwatoa lupango kila siku kwa fedha zake binafsi.
 
Kama alivyotabiri Lema ,Slaa hawezi kuachiwa mpaka uchaguzi wa CDM upite.
Mugabe wetu anapewa kila aina ya msaada na serikali na CCM ili ashinde.
Slaa alijionesha wazi kufanya kazi za kuiua CHADEMA kiasi cha kufurahia kesi ya Mbowe.

Yaani Lissu kashindwa kumpelekea hata Kiwembe Slaa maana anatisha aisee!!
 
Tar 15 wife alinitia ndani, na kwa mara ta kwanza nikajua mahabusu kuna sound aje?
Aisee, pasikie tu.
Sema ukiwa na positive mindset, ni mahala pazuri sana, kwa namna nyingine ii was happy being there
 
mtu mwenye laana laana ya usaliti, ubinafsi, na tamaa ambayo imeambatana uropokaji, hupata tabu sana. Ndiyo kama huyu Mzee 🐒
Kesi ya aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na Mwanasiasa mkongwe, Dkt. Wilbroad Slaa (76) ataendelea kusalia kukaa Mahabusu kwa kukosa dhamana baada ya hii leo Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Jijini Dar es Salaam kuahirisha Kesi yake ya kusambaza taarifa za Uongo kupitia mtandao wa X hadi Januari 23.
Soma, Pia:
-
Kesi ya Dkt. Slaa yapigwa kalenda hadi tarehe 17 Januari 2025
- Dkt. Slaa afikishwa mahakamani Kisutu kwa Shtaka la kusambaza taarifa za Uongo
 
Kesi ya aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na Mwanasiasa mkongwe, Dkt. Wilbroad Slaa (76) ataendelea kusalia kukaa Mahabusu kwa kukosa dhamana baada ya hii leo Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Jijini Dar es Salaam kuahirisha Kesi yake ya kusambaza taarifa za Uongo kupitia mtandao wa X hadi Januari 23.
Soma, Pia:

-
Kesi ya Dkt. Slaa yapigwa kalenda hadi tarehe 17 Januari 2025

- Dkt. Slaa afikishwa mahakamani Kisutu kwa Shtaka la kusambaza taarifa za Uongo
KAZI ya MBOWE na bibi wa kizimkazi. Slaa ataachiwa baada ya uchaguzi wa CHADEMA
 
Kama alivyotabiri Lema ,Slaa hawezi kuachiwa mpaka uchaguzi wa CDM upite.
Mugabe wetu anapewa kila aina ya msaada na serikali na CCM ili ashinde.
Kwan Slaa ana madhara gani? Sio mwanachama wala mjumbe mahali popote pale. Yupo kama wewe tu, tena angalau wewe unaweza piga kampeni humu jukwaani. Mzee ameshajichokea.

Aache kiherehere
 
........ Kesi ya aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ......

Ingekuwa jambo jema nadhani hii lugha isingetumikaaa
 
Back
Top Bottom