johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 96,005
- 168,420
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Taifa Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, ameagiza viongozi, Wanachama na Jumuiya zote ndani CCM kuvunja makundi yaliyoanza kuripotiwa ndani ya chama hicho.
Amewataka kuacha mara moja tabia hiyo kabla ya chama hakijachukua hatua stahiki kwani vitendo hivyo vinaweza kuathiri chama kuelekea kwenye chaguzi zijazo.
Balozi Dkt. Nchimbi ametoa maagizo hayo jijini Dodoma wakati akizungumza na Baraza la Taifa la Jumuiya ya Umoja wa wanawake wa Chama Cha Mapinduzi UWT.
Source: ITV Habari
Soma zaidi: Dkt. Nchimbi: Mimi ni mtu wa misimamo, Utamaduni wa CCM unajulikana Rais anahudumu awamu 2 nawaambieni Mapema kabisa!