Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli amfuta rasmi Freeman Mbowe jimboni Hai

manafyale

JF-Expert Member
Nov 25, 2014
277
158
Leo hii Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania na mgombea urais kupitia CCM bila ya huruma yoyote na kwa zaidi ya dakika 23 alimkaba Mbowe akiwa chini na kumwekea goti shingoni kwa muda wote huo na kusababisha kifo chake cha kisiasa kwa Mbowe kitu ambacho kimetafsiliwa kuwa ni uuaji kama uuaji mwingine.

Magufuli ambaye alianza taratibu kwa kumfyatua mtama na kumweka chini kwa kusema alimpa gari kubwa na zuri la gharama hili asaidiane nae katika kujenga nchi lakini yeye akawa anaendenalo kusiko julikana. Baada ya hapo Magufuli ndiyo akaamua kumwekea goti shingoni ambapo Mbowe alisikika kwa shida akisema unaniua, lakini Magufuli akazidi kukandamiza huku wapambe wake wakishangilia kwa kusema yeye amekuwa mwalimu wa kufundisha wabunge kuziba midomo na vitambaa na kuwaambia wana Hai kuwa huyu mtu mlikosea si kidogo amekuwa shida ya kuleta maendeleo katika jimbo la Hai.

Magu akaona hiyo haitoshi akaamua kumziba kabisa na pua hili kuukatiza uhai wake pale aliposema kuhusu huyu jamaa alivyowatoa wabunge wake wote bungeni wakimbie Korona. Anasema korona ni mbaya lakini Mbowe ndiyo mbaya zaidi kwani alikuwa anataka kuutumia ukuu wake wa kambi rasmi bungeni watu wafungiwe ndani hili wafe na njaa, hili tamko lake alilowai kulisema huko nyuma litimie kuwa lazima Tanzania ibebe majeneza.

Magufuli aliendelea kufaya ukatili huo huku wana hai wakishangilia kwa kelele wakati uhai wa mboe ukitoweka kwa kuwaambia je mlimchagua kuja kususa bungeni au kujenga hoja kufikia maendeleo.

Magu huku akiwa amwmwekea goti na akiwa amemkazia macho usoni alisema huyu simwachi amenitesa sana maana alikuwa ananifunga miguu na mikono minyororo alafu natumwa nipeleke maji Hai nimeteseka sana sasa nammalizia. Mwisho wa kunukuu.

Wanahai huku wakishuhudia kifo hicho wameendelea nao kupigilia misumari juu ya jeneza kwa kusema hawajawai kumwana hapo tangia awe mbunge, hila wanamwona katika taharifa za habari na mambo ya kitaifa kama kususa bungeni na kujificha wakati wa korona na matumizi mabaya ya ruzuku. Mzee mmoja ambaye tulishindwa kupata jina lake yeye alisema kuwa licha ya kuwa ametuacha pia ni mpinafsi sana kwani ameifanya Hai kuwa kisiwa ambacho kinafikiwa kwa shida hivyo kwa kifo chake ukombozi umefika.
 
Mbowe akabaki anasema I can't breathe,

Mpaka umauti unampata.
 
Magu hafai

Magufuli hafai kuwa rais wa nchi hii.
 
Magufuli kiboko yao. Nimefurahi Sana, hatimaye Ukombozi unakuja. Jimbo linaloongozwa na mbunge tena mkuu wa kambi rasmi kukosa maji, hospital, barabara ni uzembe ulioje. Huyu mjasiriamali hakai hai, kule anakuja chaguzi kwa chaguzi huyu pongo atavuna alicho panda. Kashindwa hadi na mbatia wa vunjo,kule maji yapo at least, barabara na hospital kiasi. Saccos kwisha kabisa, na Sera zenu za ushoga shoga hakuna atakayewanunua hata kwa bure. Viva Magufuli.
 
Leo hii Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania na mgombea urais kupitia CCM bila ya huruma yoyote na kwa zaidi ya dakika 23 alimkaba Mbowe akiwa chini na kumwekea goti shingoni kwa muda wote huo na kusababisha kifo chake cha kisiasa kwa Mbowe kitu ambacho kimetafsiliwa kuwa ni uuaji kama uuaji mwingine.

Magufuli ambaye alianza taratibu kwa kumfyatua mtama na kumweka chini kwa kusema alimpa gari kubwa na zuri la gharama hili asaidiane nae katika kujenga nchi lakini yeye akawa anaendenalo kusiko julikana. Baada ya hapo Magufuli ndiyo akaamua kumwekea goti shingoni ambapo Mbowe alisikika kwa shida akisema unaniua, lakini Magufuli akazidi kukandamiza huku wapambe wake wakishangilia kwa kusema yeye amekuwa mwalimu wa kufundisha wabunge kuziba midomo na vitambaa na kuwaambia wana Hai kuwa huyu mtu mlikosea si kidogo amekuwa shida ya kuleta maendeleo katika jimbo la Hai.

Magu akaona hiyo haitoshi akaamua kumziba kabisa na pua hili kuukatiza uhai wake pale aliposema kuhusu huyu jamaa alivyowatoa wabunge wake wote bungeni wakimbie Korona. Anasema korona ni mbaya lakini Mbowe ndiyo mbaya zaidi kwani alikuwa anataka kuutumia ukuu wake wa kambi rasmi bungeni watu wafungiwe ndani hili wafe na njaa, hili tamko lake alilowai kulisema huko nyuma litimie kuwa lazima Tanzania ibebe majeneza.

Magufuli aliendelea kufaya ukatili huo huku wana hai wakishangilia kwa kelele wakati uhai wa mboe ukitoweka kwa kuwaambia je mlimchagua kuja kususa bungeni au kujenga hoja kufikia maendeleo.

Magu huku akiwa amwmwekea goti na akiwa amemkazia macho usoni alisema huyu simwachi amenitesa sana maana alikuwa ananifunga miguu na mikono minyororo alafu natumwa nipeleke maji Hai nimeteseka sana sasa nammalizia. Mwisho wa kunukuu.

Wanahai huku wakishuhudia kifo hicho wameendelea nao kupigilia misumari juu ya jeneza kwa kusema hawajawai kumwana hapo tangia awe mbunge, hila wanamwona katika taharifa za habari na mambo ya kitaifa kama kususa bungeni na kujificha wakati wa korona na matumizi mabaya ya ruzuku. Mzee mmoja ambaye tulishindwa kupata jina lake yeye alisema kuwa licha ya kuwa ametuacha pia ni mpinafsi sana kwani ameifanya Hai kuwa kisiwa ambacho kinafikiwa kwa shida hivyo kwa kifo chake ukombozi umefika.

wanajiita demokrasia na maendeleo alafu ukienda bungeni unafukuzwa, uchawi wa wapi huu
 
Magufuli Ni mnafiki tu anafahamu kila kitu ila anajitoa ufahamu na kuleta propaganda za kishamba anadhani wananchi hatujui michango ya Mbowe bungeni
 
Kwetu rahaaa
Kule wanatetemekaaaa😁😁😁😁😁
Jana nilipoona ngome kuu imetikiswa MO town, nikajua leo lazima mzee wa faru John atundikiwe dripu. Kule wananchi wenyewe wana prefer DC sabaya kuliko huyo mjasiriamali wa saccos. Watanzania sasa akili zimeanza kujaa kwenye vichwa.
 
Lakini tukumbushane tu Kwa upendo, Mlioomba ubunge, mkiaminiwa, chapeni kazi yenu, msijichimbie tu dar na Dodoma mkawasahau waliowatuma

Kila kipindi cha Bunge kinapoiisha, rudini majimboni kufahamu kero mpya ili kizileta bungeni tena,msikae mpaka muda wote wa miaka mitano hamuonekani majimboni

Hayo ndiyo yanayowatesa kina mbowe na wengine leo
 
Magufuli Ni mnafiki tu anafahamu kila kitu ila anajitoa ufahamu na kuleta propaganda za kishamba anadhani wananchi hatujui michango ya Mbowe bungeni
Ha ha ha mchango gani?. Kutoka bungeni, kuziba midomo, kutaka tulundikwe lockdown labda kwako ndio michango hiyo. Hai pako hoi mpaka aibu. Huyu mwenyekiti hakai kule, uchaguzi kwa uchaguzi anatimba kupiga debe akivini anasepa mazima. Magufuli, nchi hii itakukumbuka shujaa. Kilimanjaro umeacha record isiyofutika. Nadhani watu watakesha vituoni kusubiri kukupongeza kwenye box la kura. Kipondo kipo palepale.
 
Jana nilipoona ngome kuu imetikiswa MO town, nikajua leo lazima mzee wa faru John atundikiwe dripu. Kule wananchi wenyewe wana prefer DC sabaya kuliko huyo mjasiriamali wa saccos. Watanzania sasa akili zimeanza kujaa kwenye vichwa.
Wachaga hawataki kuchelewa wale, wamepima upepo wameona John Pombe Magufuli atawafikisha wanakotaka kufika
 
Lakini tukumbushane tu Kwa upendo, Mlioomba ubunge, mkiaminiwa, chapeni kazi yenu, msijichimbie tu dar na Dodoma mkawasahau waliowatuma

Kila kipindi cha Bunge kinapoiisha, rudini majimboni kufahamu kero mpya ili kizileta bungeni tena,msikae mpaka muda wote wa miaka mitano hamuonekani majimboni

Hayo ndiyo yanayowatesa kina mbowe na wengine leo
Mkuu, wana saccos wako ki maslahi zaidi. Wao Habari za wananchi sio kitu kwao.Mbowe alitimuliwa na masale kule kwao. Magufulification of Tanzania.
 
Lakini tukumbushane tu Kwa upendo, Mlioomba ubunge, mkiaminiwa, chapeni kazi yenu, msijichimbie tu dar na Dodoma mkawasahau waliowatuma

Kila kipindi cha Bunge kinapoiisha, rudini majimboni kufahamu kero mpya ili kizileta bungeni tena,msikae mpaka muda wote wa miaka mitano hamuonekani majimboni

Hayo ndiyo yanayowatesa kina mbowe na wengine leo
Wewe pumba kabisa anaye muhenyesha bungeni Waziri Mkuu kila ahamisi kwenye maswali ya papo kwa ppo ni nani? Kuweni na kumbukumbu
 
Back
Top Bottom