johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 96,437
- 169,137
Waziri wa zamani wa Maliasili na Utalii na Mbunge wa Nzega vijijini Dr Kigwangalla Leo amefuturu futari ya tsh 2500 tu akiwa safarini Mikumi
Kigwangalla amesema maisha ni rahisi sana ukiwa simple huko ukurasani X.
---
Nikiwa natokea shambani, maghrib imenikuta maeneo ya Mikumi, nikasimama kupata maghrib na iftar. Nimepata iftar ya sh 2500/- tu, mihogo na viazi, tambi kidogo, gimbi nazi kidogo, chapati ya kumimina. Maisha ni rahisi sana ukiwa simple! Na hii kwa uhakika ndiyo raha ya uchumi wetu kuwa na misingi ya ujamaa, hapa nyumbani kwetu mwenye kipato cha 5,000/- kwa siku anavimba sawa na Bilionea tu, wote wanakula organic! Kwani nini bhana?
Mlale Unono
Buku 2 na Jero 😀😀