Kuelekea 2025 Dkt. Emmanuel Nchimbi kauli yako ya kuwaachia viongozi wa CHADEMA imekaa kimaigizo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Rabbon

JF-Expert Member
Apr 16, 2022
19,576
30,611
Salaam Shalom!!

Umesikika ukitoa maelekezo kwa Waziri wa mambo ya ndani ndugu Masauni Ukiwa jukwaani kupitia Naibu wake uliyekuwa naye ziarani Geita, kuwa, " Si mambo yote ni ya kuyatatua kisheria, wanasiasa tuachwe tuzumgumze, tafuta namna ya kuwaachia huru viongozi wa upinzani waliokamatwa".

Kauli hii ni kauli thabiti Kwa kiongozi mkubwa yenye BUSARA ingawa imekaa kimaigizo.

Naibu waziri wa mambo ya ndani ndugu Daniel Silo ulikuwa naye kwenye ziara, mlikuwa pamoja na naamini habari za kukamatwa viongozi wa upinzani ulikuwa nazo.

Sasa kwanini usimuelekeze mkiwa pamoja Hadi usubiri jukwaa la kisiasa ndipo utoe maelekezo na ushauri huo?

Tukienda hivi tutafika tumechoka sana.

Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿. Amen

PIA SOMA
- Kuelekea 2025 - Katibu Mkuu wa CCM, Dkt. Nchimbi aiagiza Serikali kuwaachia Viongozi wa CHADEMA
 
Salaam Shalom!!

Umesikika ukitoa maelekezo Kwa Waziri wa mambo ya ndani ndugu Masauni Ukiwa jukwaani kuwa, " Si mambo yote ni ya kuyatatua kisheria, wanasiasa tuachwe tuzumgumze, tafuta namna ya kuwaachia huru viongozi wa upinzani waliokamatwa".

Kauli hii ni kauli thabiti Kwa kiongozi mkubwa yenye BUSARA ingawa imekaa kimaigizo.

Waziri Masauni umekuwa naye kwenye ziara, mlikuwa pamoja na naamini habari za kukamatwa viongozi wa upinzani ulikuwa nazo.

Sasa kwanini usimuelekeze mkiwa pamoja Hadi usubiri jukwaa la kisiasa ndipo utoe maelekezo na ushauri huo?

Tukienda hivi tutafika tumechoka sana.

Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿. Amen

..Nchimbi anaelewa kwamba uonevu wa Polisi dhidi ya Chadema, unapelekea Ccm kuonekana wanapendelewa, na kuwa wamejimilikisha vyombo vya dola.
 
Alikuwa naye wapi tunaomba picha hapa. Pili, hata akiagiza jukwaani kosa nini? Chama kazi yake kuisimamia serikali. Hamna jema? Hii ya Chadema sasa ndiyo ilikuwa political drama waende BBC HardTalk, Amnesty International na Human Rights Watch! Tujenge utamaduni wa kuitumia demokrasia kujadili issues za wananchi na nchi.🙏🙏🙏
 
Alikuwa naye Geita kwenye ziara, sasa habari wanazo muda mrefu, maagizo asimpe wakati huo Hadi asubiri kupanda jukwaa la siasa!!

Maigizo hayo.
 
..Nchimbi anaelewa kwamba uonevu wa Polisi dhidi ya Chadema, unapelekea Ccm kuonekana wanapendelewa, na kuwa wamejimilikisha vyombo vya dola.
Ila angalau Kiongozi huyu amejitahidi.
 
Hebu jaribu kuisoma tena taarifa chief. 🙏🙏🙏
Huelewi Naibu waziri wa mambo ya ndani walikuwa wote ziarani Geita, sasa habari walikuwa nazo muda tu, kwann wasipigiane simu, wasubiri maigizo jukwaani?
 
Bado sijaona tatizo. Hayo mambo yakifanyika faragha watu wanasema ni njama za CCM wakitoka hadharani kuagiza bado tunakataa. Nadhani tuwape nafasi viongozi waongoze kwa staili zao.🙏🙏🙏
 
Nawe unaamini kukamatwa Kwa viongozi CHADEMA, CCM haikuhusika Kutoa maelekezo?

Au tuamini kuwa upo mgawanyiko ndani ya chama?
 
..Nchimbi anaelewa kwamba uonevu wa Polisi dhidi ya Chadema, unapelekea Ccm kuonekana wanapendelewa, na kuwa wamejimilikisha vyombo vya dola.
Lakini kwa upande wa pili, Masauni naye anataka aonekane anao umwamba wa kuwatia jamba jamba CHADEMA. Tatizo ni wapi inapoishia serikali na wapi kinapo anzia chama; maana watu ni wale wale toka CCM.
 
Back
Top Bottom