Dkt. Bashiru: Baada ya mzee Kikwete kuingia kura zetu (CCM) zilianza kuporomoka

Wametumwa kumtukana Kikwete wakidhani kwa kufanya wanamjenga mtu wao aliyekosa maarifa ya kuongoza nchi.
Alichosema ni kweli Dr. Bashiru ni kweli kabisa. CCM ilikuwa ya kulindana, ilikuwa ya waovu, wema wakawa ndo wabaya. Kwa ujumla huwezi kumridhisha kila mmoja, ila ukweli utabaki pale pale. Ukizingatia kwamba wapiga dili na mafisadi kwa ujumla hawawezi kumfurahia Dr. leo, kesho na hata milele.
 
Meko “The hills” alikuwa anaitwa Mr Vapour ...uncle wangu msomi anasema miujiza ipo ..
 
Kikwete pays the price for letting the dog in, now the dog yells and bites him.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…