MsemajiUkweli
JF-Expert Member
- Jul 5, 2012
- 13,171
- 23,996
Why is good news?This is good news.
Why is good news?
Magdalena SakayaKwani upinzani wanaweka mgombea?
Hapo hata mkuregenzi wa TPDC akiboronga vipi magu hawezi kumfukuza, the conflict of interest will arise
Chama hakiwezi kumtegemea Ndugai ambae hana utalaam wowote wa kisheria zaidi ya mambo ya mazingira na wanyama pori pili ni vizuri kubalance kuwa na naibu speaker mwanamke tatu ni msomi nne anawakilisha kundi la vijana tano bunge la 11 litakuwa na figusifigusi nyingi za scandal za madini na upinzani wa hali ya juu unahitaji mtu alibobea kwenye sheria kumbuka ndie alisheriki kwenye uandishi wa katiba mpya kama katibu plus pia alishiriki kwenye ushindi wa mita 200 mahakamani so nichaguo sahihi kwa CCM na kilio kwa upinzani.
Safi hatimaye wananchi tutashuhudia ubobevu wa sheria wa wabunge wetu, tunataka bunge lenye upinzani na uelewa wa kutosha!