Diwani wa Ikungi, Emmanuel Jingu (CHADEMA) atoka gerezani baada ya kulipa faini

Goliath mfalamagoha

JF-Expert Member
Aug 3, 2012
602
2,506
Zamu ya wanaohusika na haya mambo inakuja. Wakati ukifika hatutajali kama watakuwa ni wazee au laa maana nao wana mengi tu ya kuja kujibu mahakamani.
 
Haki imetendeka asije rudia kosa maana hakutakuwa tena na fine bali kifungo./
Kata rufaa, utashinda hawa walikuwa na amri, Court of appeal bado hakujawa influenced.
Katitit, Mwalusanya na Rugakingira walikufa na Judiciary!
 
Zamu ya wanaohusika na haya mambo inakuja. Wakati ukifika hatutajali kama watakuwa ni wazee au laa maana nao wana mengi tu ya kuja kujibu mahakamani.
hata wewe ukitenda jinai utafungwa tu na ukamanda mavi wako
 
Usidakie gari kwa mbele, ajirekebishe una hakika gani kuwa alikuwa mkosaji? Si mna mradi wenu wa kuwabambikizia kesi viongozi wa Chadema?
Sasa kama hakuwa mkosaji alifungwa kwa nini? Bavicha huwa mnatia kichefuchefu wakati mwingine
 
Kwa hyo udiwani wake nao kushnei?
We naye uwa nakwangalia kila siku lakini wacha Leo nikwambie ukweli......

Kama uwezo wako ni mdogo nenda Facebook.........

Unaoneka mtoto sana au acha utoto...........

Samahani kama nimekosea ila post zako uwa nazisoma kila siku Leo nimeamua nikwambie............
 
Zamu ya wanaohusika na haya mambo inakuja. Wakati ukifika hatutajali kama watakuwa ni wazee au laa maana nao wana mengi tu ya kuja kujibu mahakamani.
Hizi ndoto zingine mbaya sana , kama zile za jinamizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…