Diwani wa CHADEMA mbaroni kwa kutafuna fedha za Walemavu

Halafu hawa ndiyo tuwape nchi waongoze?

Maawee!

Nauliza juzi makada wa CCM wametajwa kwenye ile biashara haramu ya ngada. Kwa hiyo CCM ni chama cha wauza madawa ya kulevya?

Basi kama ndivyo mna laana ya kuharibu nguvu kazi ya Watanzania.
 
Chanzo cha habari kwanza kinamilikiwa na nani ? pili diwani anatuhumiwa tu na bado hajathibitika mwenye mamlaka ni mahakama na sio meya
 
mwandishi habari hizi ameambiwa akakurupuka kuuza gazeti,hata kama diwani alikuwa anawasilisha penye chuki hapana haki.wanaokura pesa za Tasaf ni wengi nenda vijijini pesa ikitoka wazazi wanashinda wamelewa ulanzi,na watoto shule walisha
acha
 
tatizo hili la makada wa chama kuhusika na ufisadi liko kwa vyama vyote ila kwa upinzani linaleta picha mbaya zaidi maana wao wanaangaliwa kama watu mbadala wa kurekebisha mabaya yanayofanywa na chama tawala
 
Chadema chama cha majizi baba mwizi(Lowasa),mtoto mwizi (diwani) mbowe mkwepa kodi halipi pango la NHC . Kama mwenye chama( Lowasa)mwizi mnategemea wafuasi watakuwaje.
 
Chadema chama cha majizi baba mwizi(Lowasa),mtoto mwizi (diwani) kama kwenye chama mwizi mnategemea wafuasi watakuwaje.
Naona umemsahau Mzee wa bilioni nane na Kivuko Kibovu, Escrow, Lugumi,Vijisenti,UDA, Madawa.ya kulevya,Barabara chini ya kiwango. Mko busy na.vitu vya kusikia safisheni kwenye uchafu wenu.Chama.Cha Magaidi aka Wazee wa Madawa ya Kulevya
 
Mtu mmoja katika level ya udiwani anakuondoa imani? Jee wale walio wengi katika mfuno wanao kula rambirambi mpaka za wafiwa Kagera unawaweka kundi gain?
acha utoto wewe,unataka kusema kwa kuwa ni diwani ni level ya chini na hapaswi kukemewa wala kuchukuliwa hatua,kisa unadai watu wamekula rambi rambi
 
Mtu mmoja katika level ya udiwani anakuondoa imani? Jee wale walio wengi katika mfuno wanao kula rambirambi mpaka za wafiwa Kagera unawaweka kundi gain?
Kama Mungu mtu wenu
ni mkwepaji mkubwa wa kodi
sibora ya diwani
 
Hii zambi mbaya ikisibitika Kama katufuna kweli Sheria ichukue mkondo wake na chama kimfutie uwanachama ili iwefundisho kwa wengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…