Sweet potato
Member
- Nov 14, 2013
- 60
- 24
yaani PCM, PCB unasoma maisha ya shida msoto mkali comb ngumu lkn bado usumbufu mwingiDah inauma kwa kweli hasa kwa sisi tunaojua ugumu wa PCM PCB
Habar .na hzo grants wanatoa kwa koz ip?HIZI HABARI TUMESHAZITOLEA UFAFANUZI MARA NYINGI LAKINI WATU NI WAVIVU WA KUSOMA NA KUFUATILIA MAMBO
Hebu acheni ulimbukeni wa Mitandao, Kwani Kama Huna Cha Kupost si Angalia tu Nyuzi za Watu na Kujisomea! Yanini Upost Fabricated Nesw??? Unapokosa Uzi Kwani ni Lazima Upost Mkuu??
GuideBook Ya HESLB imetolewa na Tumeisoma Yote Wala Hamna Kipengele Hicho Cha Div 1 & 2 kuwa Ndiyo Watakaopata Mkopo (Loan)!!!
Bali Watakaopata Ruzuku (Grants) tu Ndiyo Wanaotakiwa Wawe na Div 1%2.
Sasa hizo habari Za Kilumumba Wewe Umezipata wapi???? Tuletee Source of News basi ili tucomfirm hicho ulichotuletea!!!
NOTE:
Bodi ya Mikopo Haijatoa Kipengele Cha Div Kuwa Ndiyo Vigezo Vya Kupata Mkopo (Loan).
Bali imetoa Kipengele cha Div & First Class (Diploma Holders) Kuwa Ndiyo Vigezo vya Kupata Ruzuku (Grants).
KUMBUKA:
Hii Ruzu (Grants) Siyo Mkopo (Loan) Bali ni Kama "Scholarship" Unapewa Bure Hukopeshwi Wala Huji Kulipa! ila Sharti Lao Ni Moja tu!! Ukimaliza Masomo Ni Lazima Ufanye Kazi Nchini (Tz) Kwa Miaka 3, baadae Ndiyo ukitaka Kutimua Abroad utatimua.
Mzushi kama lissuTuwekee source yako na sisi tukachimbue
Kasome guideline ya loans mkuu utajua au fuatilia kwenye hizi uzi mbona imezungumziwa sanaHabar .na hzo grants wanatoa kwa koz ip?
Hakuna kitu kama hiki....Kweli nimeumia kusikia degree ni division 1 na 2 pekee, 3 inakuaje?
Mtu kasota maisha ya advance nauli shida akirudi nyumbani chakula shida, hata kusoma inakuwa shida hiyo pesa ya kusomea chuo hiyo advanced diploma ataitoa wapi
wazazi walikuwa wauza mitumba nayo imezuiwa, sijui uende wapi
Michongo ipi embu fafanua vizuri.Bora tu iwe hivyo kila MTU apate haki yake maana unakuta MTU ana div ii anaomba MD anakosa alafu kuna watu wana 3 wamechaguliwa koz hiyo hiyo kwa michongo tu
Mbona mnazusha mambo yasiokuwa na maana mtakuja kuumbuka tuu hivi karibuni na taarifa zenu zisizokuwa na ukweli wowote ndani yake.Mkitakataa muamin nitoe my number muje watsap niwatumie clip ya magu akiongea one na twoo chuo threee ****** hatutak wanyoa viduku chuo