Mto Songwe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2023
- 6,683
- 14,051
Namna ambavyo Atheism inasambaa ulimwenguni kwa sasa kadiri miaka inavyo songa katika njia ya amani inanipa faraja na kusema hii ndio njia ambayo dini ilipaswa kuitumia.
Huwezi kuta Atheists wanatumia nguvu kubwa kama vita, kuchinja watu, kulipua watu ili wasiamini kuwa kuna Mungu lakini haya matendo yasiyo ya kistaarabu yamefanywa sana na dini mbalimbali ili Mungu wao na mafundisho yao yaaaminiwe na kukubalika vizazi na vizazi.
Mafundisho ya vitisho vingi wamejaa katika usambazaji wa dini tofauti na njia ya amani haya matendo huwezi kuta Atheists wanafanya kulazimisha watu .
Kuwa atheist imekuwa njia rahisi sana na inayo kubalika na kukua kwa kasi katika maeneo mbalimbali kwa sababu kinacho hitaji ni kuwa huru kufungua uwezo wako wa kiakili, elimu na kuwa huru kuhoji basi ni rahisi kuwa atheist hii ni tofauti na dini.
Dini zingetumia njia ya amani sidhani kama ingekuwa rahisi wao kujipatia wafuasi hawa wengi walio nao