Mto Songwe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2023
- 6,683
- 14,051
Wakomunisti sikubaliani nao katika mambo mengi sana.
Wana upumbavu wao katika mambo mbalimbali ila linapo fika suala la nchi isiyo ya kidini wajua kweli kuchora mstari wa haki kwa dini zote.
Wakomunisti wa China wamechora mstari wa haki kwa dini zote si wakristo, si waislam, si wabudha n.k hakuna special treatment ya baadhi ya dini ili kufurahisha kundi fulani.
China wanaposema nchi yao sio ya kidini wana maanisha kweli ile nchi sio ya kidini ila Tanzania wanaposema nchi yao sio ya kidini sivyo wanavyo maanisha kuna dini mbili zina special treatment au special class katika hii ardhi.
Kazi ipo kubwa sana nchi ya kisekula kujipambanua kweli nchi ya kisekula kivitendo.
Wakomunisti wakosolewe kwa mengine lakini sio kuzi tendenea dini zote usawa.