Sergio69
Senior Member
- Mar 12, 2025
- 140
- 246
Habari za muda huu wadau wa jf hapa labda twende kenye kinaga ubaga
Isingekuwepo ujio wa mataifa ya mashariki na mataifa ya kaskazin mwa dunia kujakufanya kilimo, uchimbaji wa madini na zile biashara za utumwa tusinge zijua hizo dini ambazo zinatugawa ki matabaka as we all knows.
Asili ya muafrika nikufanya matambiko na kuitii mizimu, Asili ya muafrika ni kuzienzi ngoma za asili na kuendeleza mikoba ya koo ziwe ni ya uchawi, uganga au umwenye.
Imani za uabudu, kukesha kulia manisani, kukesha ukisubiri muda ufike ule daku kuzingatia muda wa ibada za kuanguka mara5 per day misikitini na masinagogi ni imani zakurithishwa na wazungu ama waarabu zisizo na asili ya muafrica hata kidogo
Na niimani ambayo haushaliwi usiifuate ila kama wewe ni Muafrica unashauliwa usiisahau asili.
NOTHING SWEET THAN TRADITIONAL!!