Kristonsia Nkya
JF-Expert Member
- Jun 24, 2013
- 306
- 300
Zamani walikuwa na scripts nzuri ,japo ilikuwa inajulikana kwa sasa wakuhesabu sana ...Enzi zile kabla hata Eddy Guerero hajafa .Huo mchezo niliacha kabisa kuufuatilia.
Zamani nilijua ni Mchezo wa Ukweli kumbe ni danganya toto.
Mwaka 2011 niliwauliza wamarekani 2 waliokuja Tanzania kuhusu mieleka, wakanithibitishia kabisa kuwa ni script tu, kama filamu za kutunga, na sio ukweli wowote.Huo mchezo niliacha kabisa kuufuatilia.
Zamani nilijua ni Mchezo wa Ukweli kumbe ni danganya toto.
Hivi ungekutana naye kwa bed 🛏️ angekufanyeje.Nilikuwaga nampenda UMAGA, anapiga haswaaa..... mkono unatembea watu wananyukwa balaa.
Akiruka juu anatua kwenye bandama lako, na venye alivyo kibonge, unajikuta unajamba.
Cc: secretarybird
unapenda sana mambo yakujamba wewe!Nilikuwaga nampenda UMAGA, anapiga haswaaa..... mkono unatembea watu wananyukwa balaa.
Akiruka juu anatua kwenye bandama lako, na venye alivyo kibonge, unajikuta unajamba.
Cc: secretarybird
🤣🤣🤣 sipendi mbonaunapenda sana mambo yakujamba wewe!
Ningemkata chululu.Hivi ungekutana naye kwa bed 🛏️ angekufanyeje.
Wanawake na watoto bado wanaangalia hii michezo ya kuigizaHuyu dingi haeleweki aisee khaa😄😄
Angekubomoa nyeti.Ningemkata chululu.
Mara kadhaa nimekuona unakomenti kuhusu kunyampanyampa unashida gani wewe..??🤣🤣🤣 sipendi mbona
Hahaha 😁, mwenzake BRAZA CHOGO sijui kapotelea wapi naye alipenlea sana kunyampa.Mara kadhaa nimekuona unakomenti kuhusu kunyampanyampa unashida gani wewe..??
wachunguzwe hawa...Hahaha 😁, mwenzake BRAZA CHOGO sijui kapotelea wapi naye alipenlea sana kunyampa.
Unaweza kukuta ndo momodinyo wenyewe hawa.wachunguzwe hawa...
Mh!Unaweza kukuta ndo momodinyo wenyewe hawa.
Nime assume tu.