sangujoseph
Senior Member
- Nov 30, 2015
- 164
- 183
Ommy dimpoz NI miongoni mwa wasanii wanaoimba vizuri sana bongo ukilinganisha na wasanii wengine ananipa jeuri ya kusema kwamba NI miongoni mwa wasanii watano wakubwa katika game ya bongo fleva ambao wanafanya vizuri
kwa sasa nimekuwa nikimfuatilia Mara kwa mara tangu akiwa katika muziki wa band na nimekuwa nikimlinganisha na wasanii mbalimbali lakini nimegundua sababu moja kubwa inayomfanya ashindwe kushindana na aliyekuwa swahiba wake Diamond platinumz.
Dimpoz NI msanii ambae anashindwa kutamba na nyimbo zake binafsi bali amekuwa akifanya vizuri kupitia migongo ya wasanii wenzake na sababu sio kwamba huwa anatunga nyimbo mbaya sema zinashindwa kufikia hitaji la mashabiki wake mfano nyimbo alizoimba mwenyewe wanjera ndagushima achiabody.
ni nyimbo ambazo hazikufanya vizuri ukilinganisha na nyimbo nyingine za kushirikishwa au kushirikisha mfano me&you utamu prokoto mama nainai kajiandae [HASHTAG]#sepa[/HASHTAG] ft Suma mnazalet kwa hiyo inanifanya niamini Dimpoz ni mkali zaidi wa kolabo kuliko akiimba kama Single artist.
[HASHTAG]#kijanamzalendo[/HASHTAG] [HASHTAG]#ilovetz[/HASHTAG] [HASHTAG]#maoniyangu[/HASHTAG] [HASHTAG]#sangujoseph[/HASHTAG]