Dickson Job na Ladack Chasambi wametemwa kwenye kikosi Cha timu ya Taifa

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Oct 6, 2016
10,572
13,399
DAR ES SALAAM: KAIMU Kocha Mkuu wa @taifastars_ Hemed Suleiman Morocco ameita kikosi cha wachezaji 34 kujiandaa na mchezo wa Juni mwaka huu dhidi ya Zambia, kuwania kufuzu Kombe la Dunia mwaka 2026 nchini Marekani, Mexico na Canada.

MAONI YANGU : Dicksoni Job na ladack Chasambi wamekua na wamekua na kiwango kizuri huu ndiyo ulikua wakati mzuri kwa vijana kutumika Taifa stars Lakini kuna ujanja ujanja mwingi na kujuana kwa wanaopanga kikosi.
20240526_191146.jpg
 
Ibrahim hamad naona kaitwa mara mbili

Kaitwa kama beki na pia kama mshambuliaji.. Hongera kwake
 
DAR ES SALAAM: KAIMU Kocha Mkuu wa @taifastars_ Hemed Suleiman Morocco ameita kikosi cha wachezaji 34 kujiandaa na mchezo wa Juni mwaka huu dhidi ya Zambia, kuwania kufuzu Kombe la Dunia mwaka 2026 nchini Marekani, Mexico na Canada.

MAONI YANGU : Dicksoni Job na ladack Chasambi wamekua na wamekua na kiwango kizuri huu ndiyo ulikua wakati mzuri kwa vijana kutumika Taifa stars Lakini kuna ujanja ujanja mwingi na kujuana kwa wanaopanga kikosi.
View attachment 3000152
Dickson;
Nidhamu,nidhamu,nidhamu.
Alisisitiza Mauricio Maximo juu ya Juma K Juma.
 
Chasambi bado mtoto, Job anabifu na kocha mkuu,

Namba ya Job kuna jamaa yupo costal anaitwa Lawi, pia kuna kibabage na Mohamed Husein wa simba, pia kuna jamaa mmoja wa Azam nmemsahau jina ahhh chilambo na mwamnyeto anacheza hiyo

Hiyo namba ina ushindani sana ila the best ni LAWI wa costal
 
Kibaya zaidi wameanza kumchafua Job ana tatizo la nidhamu, bongo nyoso.
 
DAR ES SALAAM: KAIMU Kocha Mkuu wa @taifastars_ Hemed Suleiman Morocco ameita kikosi cha wachezaji 34 kujiandaa na mchezo wa Juni mwaka huu dhidi ya Zambia, kuwania kufuzu Kombe la Dunia mwaka 2026 nchini Marekani, Mexico na Canada.

MAONI YANGU : Dicksoni Job na ladack Chasambi wamekua na wamekua na kiwango kizuri huu ndiyo ulikua wakati mzuri kwa vijana kutumika Taifa stars Lakini kuna ujanja ujanja mwingi na kujuana kwa wanaopanga kikosi.
View attachment 3000152
Huyu kocha mpemba fala sana.
 
Back
Top Bottom