Leslie Mbena
JF-Expert Member
- Nov 24, 2019
- 207
- 677
DIASPORA WA MAREKANI BADALA YA KUICHAFUA TANZANIA,UNGANENI NA SACCOS ZOTE ZA AFRICA,ANZISHENI "AFRICAN CENTRAL BANK".
Leo 12:15pm,08/03/2020
Diaspora wa Tanzania waishio Marekani wana nafasi kubwa ya kutangaza mema ya Tanzania,ili kupingana na fikra potofu wanazopata Wamarekani juu ya Tanzania.
Baadhi ya Diaspora wa Tanzania nchini Marekani wanatumika kuichafua nchi.Hii imekuja baada ya kukosa fursa walizozoea kuzipata kwa ujio wa Rais wa Tanzania nchini Marekani. Walizoea kudanganya na kupiga dili pindi Rais wa Tanzania aendapo Marekani,Hilo limeshindikana kwa awamu hii ya tano,baada ya Rais wa Tanzania, kutokanyaga nchini Marekani miaka mitano sasa.
Niwakumbushe ninyi "baadhi" ya Diaspora wa Tanzania nchini Marekani, kipindi akina Martin Luther King,W.E.B Du Bois, Marcus Garvey, Muhammad Ali, Malcolm X, Elijah Muhammad walikuwa wakimuita Mzungu kuwa ni shetani (A whiteman is a devil)
Mnapoendelea kulamba miguu ya Wazungu na kufanya kazi ya kusambaza Chakula kama afanyavyo Bwana Khaji,acheni kuichafua Tanzania,
Daima wakumbukeni Pan-African advocates,Viongozi waliopigania Afrika kuwa huru toka kwa Wazungu,Haile Selassie, Julius Nyerere, Ahmed Sekou Toure,Kwame Nkrumah, King Sobhuza,Thomas Sankara na Muammar Gaddafi.
Kama hamkusoma histori 1,2,3 basi niwakumbushe tu kwamba blacks wamepitia msoto mkali sana huko Marekani kuanzia walipokuwa Slaves kwenye plantation,
Mtu mweusi aliuawa kwa sababu za kipuuzi tu kama vile kukutwa na kitabu unajisomea, yaani ilikuwa ni marufuku mtumwa kujifunza kusoma,Niwakumbushe Jim crow laws of seggregation,hivi ni vitu tu ambavyo Mzungu alimfanyia Mwafrika na hata sasa bado anawatumia baadhi ya Waafrika kuliibia bara la Afrika.
Wakati wa Ronald Reagan kulikuwepo black neighborhoods kuwa flooded na drugs makusudi kwa operations zilizosimamiwa na CIA iliyokuwa ikicontrol local kingpins,idara ya polisi ikawaweka ndani blacks kwa makosa madogo madogo au kuwabambikizia makosa.
Hivi leo baadhi ya Diaspora wa Tanzania, nchini Marekani ndio wa kusaidiana na Wamarekani kuikomesha Tanzania,nawajua majina yenu mkijificha kwenye kivuli cha Chadema diaspora wengi wenu mkitaka Trump awaonee huruma awape ukimbizi muendelee kukaa Marekani na nawaita wapumbavu kwa kujiita Wamarekani "US Citizen" mkiikosea adabu nchi yenu ya Tanzania ambapo wajomba zenu na shangazi zenu wapo wanaishi hapa.
Ninyi baadhi ya Diaspora mnajazana ujinga eti "We should held our Government responsible first before we invite other people to come and advice us as Why Makonda still RC ? Lets be real.Hivi ninyi "baadhi" ya Diaspora hapo Marekani mnadhani Sisi Watanzania tunasubiri Marekani ituamulie mambo yetu ya ndani?Non sense.
Ninyi baadhi ya Diaspora wa Tanzania hapo Marekani mnafurahia Serikali ya Tanzania kupewa Travel Ban kwa sababu tu matakwa yenu ya kuiibia Tanzania hayajatimizwa! Hivi ninyi baadhi ya Diaspora hapo Marekani ambao mliishia la saba huku Tanzania mkazamia uko na sasa mnasambaza Pizza na kupaka rangi Majumba ya Wazungu na wengine mlipata "zero" form four mkazamia uko,
Mnafurahia Makondas accusation and Tanzanians removal from Diversity Green Card Lottery ,Mnasema Waziri Kabudi amekuja kimyakimya kuzungumza na mtu wa rank ya nne kwa sababu ninyi baadhi ya diaspora uko Marekani hamkuambiwa "Who are you by the way".
You sound like idiots!! , for some time you have been ass kissers to whites on their land, I really don't know what happened to some of you Tanzanians diaspora, and what caused you to be too bitter to your Mother Land!?.People like Hajji Hamisi and Emmanuel Muganda your are not revolutionist, just an opportunist waiting for door to open,so you should have known better before you start being puppets of the Americans.
Mnapoendelea kuunga mkono uchaguzi wa Marekani na baadhi yenu kuunga mkono Trump,Trump akishinda na kuwaambia kila diaspora arudi kwao msianze kusema ooh Tanzania haikaliki, tafadhari sana,Jana tumekesha na Mopao Koffi Olomide, hata Mopao Koffi Olomide atawashangaa sana akisikia mkisema Tanzania haikaliki.
Nimeona kigazeti feki cha Marekani kimeandika Dar ni kituo kikuu cha madawa ya kulevya katika Afrika Mashariki,Kwanza walisema Dar kuna magaidi sasa wamekuja na mpya madawa ya kulevya.
Tulishaambiwa hapo nyuma kuna maneno mengi yatakuja kujitokeza sasa yameshaanza,Marekani ni wapumbavu sana, mianya yao ya kuiba madini yetu tumeiziba ,sasa wanaamua kutuchafua.
Nilisema hiyo habari inatengenezwa tu kutuchafua kwa sababu
Wauza unga wote wapo jela,rejea kesi ya Shikuba,wengine wamekimbilia kuishi bondeni Afrika ya kusini.
Kama kuna biashara ngumu kuifanya Tanzania kwa sasa basi biashara ya madawa ya kulevya unga,hao wamarekani wanatuchokonoa tu,wanatamani waseme Makonda anauza unga ili kuhalalisha kumpiga ban,nawaita Wapumbavu.
Wamarekani huwa ni wasahaulifu sana
Tanzania iliwadaka wauza unga maarufu akiwemo shikuba ambao walikua wanateleza kama kambale hata uko Marekani,Marekani waliwatafuta kwa miaka 10,Tanzania ikamkamata na Serikali yetu ikapeleka ombi mahakamani la kumpeleka US akashtakiwe.
Kiukweli katika suala la madawa kwa awamu hii ya tano limedhibitiwa kwa asilimia 99,hii ni asilimia kubwa sana maana Mimi mitaa mingi huku Kinondoni na viunga vya jiji la Dar ninayotembelea,
Mateja wanalalamika sana upatikanaji wa madawa haya haramu umekuwa adimu kama kuna watu bado wanairun hii biashara ila wamefanya hapa Dar kama kituo cha kupitishia basi wadhibitiwe japo sio rahisi kuikomesha biashara hii moja kwa moja hata Marekani yenyewe imeshindwa,
Tunaishukuru Tanzania kama nchi imechukua hatua kubwa maana vijana tulikuwa tunazidi kuteketea na familia zikitoa machozi kwa takwimu za 2013 mfano vijana walioathirika walikuwa Karibu ya nusu ya vijana ambao wangeweza kuwa Wanajeshi na kuitumikia Taifa la Tanzania na mbaya zaidi maKingpins wa drugs wakijiita mapapaa wakifanya anasa za ajabu mno.
Nimalizie kwa kusifu Diaspora wote wa Tanzania duniani kote,Ninyi ni watu wenye akili nyingi sana ila mnafeli kitu kimoja tu kama saccos mngekuja na wazo moja kuu la kuungana na saccos zote za Africa mkaanzisha AFRICAN CENTRAL BANK.
African Central Bank ingekuwa bank inayoweza kuprint fiat money back up by Gold, Diamond,Tanzanite and Oil hapo sasa ndio tungekuwa tunajitoa kwenye makucha ya mabeberu halafu hizi saccos zingekuwa zinasimamia matumizi mazuri ya mikopo barani Africa.
African Central Bank ingewezesha miundo mbinu ya kimkakati kutekelezeka. Badala yake baadhi ya Diaspora hasa awa Wamarekani na akili zenu nyingi Mara mnaenda balozi wa ulaya pale kugalagala na kuomba Tanzania isipewe msaada.
Wengine wanaenda kumsema Rais wa Tanzania kwenye vyombo vya mabeberu huku wakijisifu kuipenda Marekani,sasa akili zenu nyingi mtazitumia wapi? Kwenye maandamano au kukaa na kutukana viongozi kwa kisingizio cha kukosoa? Ebu fanyeni ya maana kama kweli mnazo hizo akili nyingi Saccos zihamasishwe tuwe na ACB.
Nafahamu African Central Bank yenye uwezo wa kuchapisha “Gold backed African currency free of debt and interest” ndio iliyosababisha kuuawa kwa Rais Muammar Gaddafi wa Libya,lakini ninyi Diaspora mlitakiwa muendeleze wazo hili.
Hizi fedha za makaratasi zilizopachikwa majina ya dola, euro, paundi na nyinginezo ambazo hazitemezwi kwenye dhahabu si lolote wala chochote.
They are simply painted pieces of paper, nothing more, nothing less.
Halafu Mataifa ya nje pamoja na Makampuni yao yanakuja na hayo makaratasi yasiyo na thamani na kusomba dhahabu zetu; dhahabu ambazo thamani yake ni ya milele. Na Waafrika pamoja na visomo vya miaka karibu sitini iliyopita tunakubali utapeli reja reja kama huu.
Nimpongeze sana Rais John Magufuli kwa kuwaamsha Watanzania na Waafrika kwa ujumla na kukataa upuuzi wa Wazungu kutufanya Shamba la bibi na kutuibia kila uchwao,
Ahsante Mwenyezi Mungu kwa kumbariki Rais John Magufuli, Ahsante Mwenyezi Mungu kwa kuibariki Tanzania. Tujaalie sisi Watanzania kutumia vyema neema ulizotujaalia na unazoendelea kutujaalia.
Nikiishia hapa,Mimi ni,
Msemakweli Chakubanga,
Dar es Salaam.
0755078854