Robot la Matope JF-Expert Member Apr 10, 2015 7,888 16,121 May 19, 2016 #1 Habari kaka Dai, tangu nikufahamu sijawahi ona umefunikwa na msaanii yoyote katika korabo zako Hata za wanaija na wasauzi but huyu shemeji yako nadhani ni hatari kamali ndani ya safari Jamaaa yuko poa saaaaaaana
Habari kaka Dai, tangu nikufahamu sijawahi ona umefunikwa na msaanii yoyote katika korabo zako Hata za wanaija na wasauzi but huyu shemeji yako nadhani ni hatari kamali ndani ya safari Jamaaa yuko poa saaaaaaana