Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 24,622
- 34,866
Diamond alikuwa na Show ya ku-peform kwenye Show ya Raha-festival huko Kenya 🇰🇪,
Ambapo Diamond, alisusa na kukataa ku-peform kutokana na kutokuwa na Maelewano kati ya yeye na waandaaji wa Tamasha hilo.
Fungua video kupata mkasa mzima
Wasanii wetu ni budi wakajihafhari sana wanapoingia mikataba ya kazi. Kama kuna ammendments ni vizuri kufanyika kabla ya kusaini maana ukishasaini mkataba wa kazi unakuwa umejifunga kuuheshimu na kuutekekeza