Chachu Ombara
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 6,042
- 10,786
Taja vipengeleKiba alikuwa kwenye vipengele 4 kakosa vyote na diamond alikuwa kwenye vipengele 2 kapata 1
I LIKE THIS.vipengele 4 vya kiba, ilikuwa tanzania artist of the year, east africa artist of the year, east africa song of the year na live act east africa, diamond vipengele 2 , tanzania artist of the year na east africa artist of the year
kahonga kama kawaida yake
Hahaha na leo usiku tuzo za hipipo za uganda zinatolewa mond vs kiba tenaWe ni mmoja wa waliowahi kusema 2015 ndio mwisho wake na hatokuja kupata tuzo yeyote baada ya kujihusisha na CCM, ila mpaka leo zimebebwa zaidi ya 15 zikiwemo MTVEMA 2....
Fanya uende kwa mganga wako muhoji vizuri, may be ulikosea masharti.. Ukijielewa zaidi kapakwe mafuta ya uzima..
Kwa mwaka huu sijui ya ngapi hii duuuuh, huyu MTU hatari sana...
Kujitoa ufahamu tu.kahonga kama kawaida yake
Huyo ni mtu wa kumpuuza tu... Huwa inatokea tu kuwa namsoma kwavile posts zake huwa hazizidi maneno 8!!!!We ni mmoja wa waliowahi kusema 2015 ndio mwisho wake na hatokuja kupata tuzo yeyote baada ya kujihusisha na CCM, ila mpaka leo zimebebwa zaidi ya 15 zikiwemo MTVEMA 2....
Fanya uende kwa mganga wako muhoji vizuri, may be ulikosea masharti.. Ukijielewa zaidi kapakwe mafuta ya uzima..
Kwa mwaka huu sijui ya ngapi hii duuuuh, huyu MTU hatari sana...