Diamond ampa Millioni 15 Haji Manara kwenye Engagement yake

Mjanja M1

JF-Expert Member
Oct 7, 2018
4,023
14,177
Msanii Diamond platnumz amemzawadia Haji Manara kitita cha Million 15 kwenye usiku wa Engagement party yake iliyofanyika siku ya jana.

ANGALIA VIDEO HAPA
Your browser is not able to display this video.

Written by Mjanja M1
Video from WasafiTv
 
Wasanii wasikumbukane katika furaha. Wawachangie akina Chiddy, Daz Baba, Ferouz na Rado waweze kusimama. Machizi wanahitaji msaada sana!
 
Wasanii wasikumbukane katika furaha. Wawachangie akina Chiddy, Daz Baba, Ferouz na Rado waweze kusimama. Machizi wanahitaji msaada sana!
Hao ujinga wao wenyewe.

Tena huyo Chidi ndio hasaidiki kabisa.

Manara alitaka kujitolea kumsaidia ila sasa alivyoshushuliwa 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…