Bilionea Asigwa
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 16,515
- 28,495
Star wa Bongo fleva Diamond Platnums amekanusha vikali juu ya stori zilizozagaa kuwa mpenzi wake Zarina ama mama Tiffa anachepuka na Ivan huku yeye akichepuka na video Quuen wa Ketu ya Raymond.
Akizungumza na Enewz Diamond alisema kuwa hizo ni stori tu ambazo mapaparazi waliamua kuzitengeneza lakini Zari hakuwahi kuwa na uhusiano wowote na Ivan tangu awe na yeye.
"Mahusiano yetu ni ya kimaarufu ambayo yamempelekea hadi X wake nae pia kuwa maarufu so unapokuwa maarufu vitu vinakuwa vingi"
"..na kwa Irene wanahisi hivyo kwakua ni mzuri na kwa kuwa naonekana maarufu na nina uwezo na vile pia Ray ni msanii wetu so wanahisi naweza kufanya hivyo pia."
Stori zilizozagaa mitani kuwa Zari amerudiana na mpenzi wake wa zamani na inasemekana kwa sasa Zari na Ivan wanachepuka huko South Africa wakati Mondi naye akijiachia na Irene ambae ni video Queen wa Raymond katika nyimbo ya Kwetu.