Samson Ernest
JF-Expert Member
- Aug 28, 2014
- 625
- 971
Tanzania imevamiwa na viongozi wa kisiasa waropokaji sana, ambao baadhi yao midomo yao imewaponza na sasa wanasota korokoroniZab 141:3 SUV
[3] Ee BWANA, uweke mlinzi kinywani pangu, Mngojezi mlangoni pa midomo yangu.
Kila mtu anaweza kukutana na hali itayomfanya avunjike moyo au akate tamaa, hali hiyo inaweza ikasababisha mambo mengi yakamtokea katika maisha yake, anaweza kuongea mambo ambayo yataathiri maisha yake ya sasa, na ya baadaye.
Kutokana na maumivu anayopitia mtu anaweza kujitamkia maneno mabaya, maneno ambayo yanaathiri maisha yake moja kwa moja, maana kinywa kina nguvu ya kuumba mambo mema au mabaya.
Katika andiko letu hapa tunaona Daudi anagundua siri iliopo katika kinywa chake, anajua maneno atakayojitamkia yanaweza kuunda jambo jema au baya, anamwomba Mungu awe mlinzi wa kinywa chake, kisije kikainuka na kutamka maneno mabaya.
Ikiwa Daudi alitambua umhimu wa kuthibiti maneno ya kinywa chake, nasi tunapaswa kuwa na tahadhari kubwa kwa maneno ya vinywa vyetu, kwa sababu maneno ya kinywa cha mtu yana athari ya moja kwa moja kwa mtu mwenyewe.
Mit 13:2 SUV
[2] Mtu atakula mema kwa matunda ya kinywa chake; Bali nafsi ya mtu haini itakula jeuri.
Tunapaswa kuhakikisha midomo yetu haitamki maneno mabaya, maana yana athari ya kiroho na kimwili, jambo ambalo halipaswi kutokea kwa mwamini, watu wanaomjua Yesu alivyo mkubwa kwao hawatakuwa na maneno mabaya juu yao.
Omba msaada wa Mungu, akusaidie katika eneo hili, usiwe mtu wa kujitamkia maneno magumu, maneno yasiyo na tumaini lolote kwa Bwana Yesu, itakusaidia kutojiingiza kwenye mambo mabaya.
Ikiwa ulizoea kuongea maneno ya kukuua wewe mwenyewe au watoto wako, acha kuanzia sasa, bila kujalisha unakutana na hali gani, bila kujalisha maombi yako yamechelewa kujibiwa, usiwe mtu wa kwanza kujitamkia maneno mabaya, hiyo ni sumu mbaya ya maisha yako.
Tamka maneno mema, maneno yanayoonyesha wewe ni mwana wa Mungu mwenye imani thabiti ndani yako, ukiwa na imani ushindi upo mbele yako.
Soma neno ukue kiroho
Liwe jua iwe mvua soma biblia yako
Mungu akubariki sana
Samson Ernest
Aimen!!Watu wengi tunaishi kwenye karma zilizosababishwa na midomo hii,
Mungu nipe kusema mema juu yangu na kwa wengine,
Nijifunze kudhibiti hasira zangu juu yangu na watu wengine, ulimi wangu uwe baraka,
secretarybird makutupora
Unavyo itikia km upo kanisanAimen!!
Mudomo haufai kabisa.
uchawa uchawa tu!Tanzania imevamiwa na viongozi wa kisiasa waropokaji sana, ambao baadhi yao midomo yao imewaponza na sasa wanasota korokoroni
relax kamanda mropokajiuchawa uchawa tu!
gentlemen,tupo kwenye ibada,utulivu tafadhari!,hili siyo jukwaa la siasarelax kamanda mropokaji
ooh hallelujah gentleman pokea muujiza wakogentlemen,tupo kwenye ibada,utulivu tafadhari!,hili siyo jukwaa la siasa
Kobaaz, Acha mambo ya ki sayngay jamvini.Dhibiti, hivi mna shida gani nyie ngulu mbili!?
Umenena vyemaZab 141:3 SUV
[3] Ee BWANA, uweke mlinzi kinywani pangu, Mngojezi mlangoni pa midomo yangu.
Kila mtu anaweza kukutana na hali itayomfanya avunjike moyo au akate tamaa, hali hiyo inaweza ikasababisha mambo mengi yakamtokea katika maisha yake, anaweza kuongea mambo ambayo yataathiri maisha yake ya sasa, na ya baadaye.
Kutokana na maumivu anayopitia mtu anaweza kujitamkia maneno mabaya, maneno ambayo yanaathiri maisha yake moja kwa moja, maana kinywa kina nguvu ya kuumba mambo mema au mabaya.
Katika andiko letu hapa tunaona Daudi anagundua siri iliopo katika kinywa chake, anajua maneno atakayojitamkia yanaweza kuunda jambo jema au baya, anamwomba Mungu awe mlinzi wa kinywa chake, kisije kikainuka na kutamka maneno mabaya.
Ikiwa Daudi alitambua umhimu wa kuthibiti maneno ya kinywa chake, nasi tunapaswa kuwa na tahadhari kubwa kwa maneno ya vinywa vyetu, kwa sababu maneno ya kinywa cha mtu yana athari ya moja kwa moja kwa mtu mwenyewe.
Mit 13:2 SUV
[2] Mtu atakula mema kwa matunda ya kinywa chake; Bali nafsi ya mtu haini itakula jeuri.
Tunapaswa kuhakikisha midomo yetu haitamki maneno mabaya, maana yana athari ya kiroho na kimwili, jambo ambalo halipaswi kutokea kwa mwamini, watu wanaomjua Yesu alivyo mkubwa kwao hawatakuwa na maneno mabaya juu yao.
Omba msaada wa Mungu, akusaidie katika eneo hili, usiwe mtu wa kujitamkia maneno magumu, maneno yasiyo na tumaini lolote kwa Bwana Yesu, itakusaidia kutojiingiza kwenye mambo mabaya.
Ikiwa ulizoea kuongea maneno ya kukuua wewe mwenyewe au watoto wako, acha kuanzia sasa, bila kujalisha unakutana na hali gani, bila kujalisha maombi yako yamechelewa kujibiwa, usiwe mtu wa kwanza kujitamkia maneno mabaya, hiyo ni sumu mbaya ya maisha yako.
Tamka maneno mema, maneno yanayoonyesha wewe ni mwana wa Mungu mwenye imani thabiti ndani yako, ukiwa na imani ushindi upo mbele yako.
Soma neno ukue kiroho
Liwe jua iwe mvua soma Biblia yako
Mungu akubariki sana
Samson Ernest
Kuna mtu alisema wastaafu wanawashwawashwa... akawashwa yeyeZab 141:3 SUV

Amina🙏Hili nalo neno,na limenijia wakati mwafaka,na nitalifanyia kazi! Mungu ameamua kukutumia wewe kufikisha ujumbe kwangu. Ahsant sana.
Amina🙏Watu wengi tunaishi kwenye karma zilizosababishwa na midomo hii,
Mungu nipe kusema mema juu yangu na kwa wengine,
Nijifunze kudhibiti hasira zangu juu yangu na watu wengine, ulimi wangu uwe baraka,
secretarybird makutupora
Hatari sanaKuna mtu alisema wastaafu wanawashwawashwa... akawashwa yeye
AminaUmenena vyema
Hata sheikh mwaipopo kasema kama wewe maneno hayo.Tanzania imevamiwa na viongozi wa kisiasa waropokaji sana, ambao baadhi yao midomo yao imewaponza na sasa wanasota korokoroni