JamiiCheck
Member
- Nov 3, 2023
- 83
- 89
Wakati mwingine Mtazamo, Hisia au Itikadi juu ya jambo huweza kuathiri maamuzi wakati wa kutafuta Ukweli wa jambo.
Unapofanya Uhakiki wa Taarifa yakupasa udhibiti Hisia, usiwe na Upande au Mtazamo wako ili uweze kupata majibu sahihi juu ya Uhalisia wa Taarifa Unayohakiki
Pia soma:Yoon Suk Yeol: Taarifa za uongo zinaathiri wananchi kufanya maamuzi sahihi wakati wa uchaguzi