Habari ndugu zangu, nije kwenye hoja yenyewe nimeona Uzi wa cacutee nataka nimjibu kuhusu hii dhana walionayo ni kweli kuna wanaume wasiotulia na wapo pia ambao wametulia.
Zipo sababu za wanawake kudhani kuwa wanaume wote hawajatulia
Ni aina ya wanaume wanaodate nao, ni ngumu kudate na mwanaume ambaye ni handsome (Akawa mweusi au mweupe ) alafu ukategemea wewe uwe pekee yako wakati soko lake ni kubwa wakikutana na vitu vizito wanajumuisha kuwa wanaume wote hawajatulia hii ni sawa kwa wanaume kwa pishi kali.
Unamtaka pisi kali alafu unataka awe pekee yako ni uongo kwasababu pishi kali wanatongozwa na watu wengi sana si rahisi akawakataa wote.
Hapo hapo pia kuna wanaume wenye Hela hasa wale malimbukeni hawa ni ngumu kuwa na mwanamke mmoja kutokana na silaha ya pesa walionayo.
Kudate na mwanaume muongeaji, wanawake wanapenda kuwa na mwanaume ambaye mwenye maneno mengi mwenye uwezo wakutongoza kwenye hili kundi ni ngumu kupata mwanaume wa pekee yako.
Tukija kwenye hoja ya wanaume waliotulia wapo sema ni aina ya mwanaume ambao wanawake wengi si aina ya wanafall in love man shida inaanzia sifa zao unakuta sio waongeaji, Hawajui kutongoza, wana sura za kawaida na wengine wana sura personal, vipato vyao vya kawaida na wengine vipato vyao ni vya chini.