Secret Star
JF-Expert Member
- Jul 1, 2011
- 1,720
- 1,639
Wa 3Una wangapi wew
umeisha oa na unawangapUkweli ni kwamba miaka mingi ya nyuma dunia ilikuwa na watu ambao walikuwa sawa, idadi ya wanaume ilikuwa sawa na wake, ila miaka ilivyozidi kwenda wanawakd walizawa kwa speed maradufu ya waume, hadi kufikia sasa kali ni kuwa wanawake wamekuwa ni wengi mno ukilinganisha na idadi ya wanaume.
Hivyo rai yangu ni hii; Ili kuepuka laana na dhambi kama vile usagaji na nyinginezo, ni vyema kila mwanaume ajichukulie wanawake idadi atakayoona anaweza kuwatunda na si kusimamia imani inasema nini, maana kama tutaendelea kuiangalia imani inasema nini juu ya ndoa, za mke mmoja, basi tutakuwa tunazidi kuupeleka ulimwengu kweli dhambi na laana.
Hao n halal au michepuko?Wa 3
Kwanza hiyo imani imeanzia wapi? Hilo ndilo swali la msingi.Ukweli ni kwamba miaka mingi ya nyuma dunia ilikuwa na watu ambao walikuwa sawa, idadi ya wanaume ilikuwa sawa na wake, ila miaka ilivyozidi kwenda wanawakd walizawa kwa speed maradufu ya waume, hadi kufikia sasa kali ni kuwa wanawake wamekuwa ni wengi mno ukilinganisha na idadi ya wanaume.
Hivyo rai yangu ni hii; Ili kuepuka laana na dhambi kama vile usagaji na nyinginezo, ni vyema kila mwanaume ajichukulie wanawake idadi atakayoona anaweza kuwatunda na si kusimamia imani inasema nini, maana kama tutaendelea kuiangalia imani inasema nini juu ya ndoa, za mke mmoja, basi tutakuwa tunazidi kuupeleka ulimwengu kweli dhambi na laana.
Umeandika ufuska,dhambi na laana na unazidi kuupeleka ulimwengu kwenye dhambi zaidiUkweli ni kwamba miaka mingi ya nyuma dunia ilikuwa na watu ambao walikuwa sawa, idadi ya wanaume ilikuwa sawa na wake, ila miaka ilivyozidi kwenda wanawakd walizawa kwa speed maradufu ya waume, hadi kufikia sasa kali ni kuwa wanawake wamekuwa ni wengi mno ukilinganisha na idadi ya wanaume.
Hivyo rai yangu ni hii; Ili kuepuka laana na dhambi kama vile usagaji na nyinginezo, ni vyema kila mwanaume ajichukulie wanawake idadi atakayoona anaweza kuwatunda na si kusimamia imani inasema nini, maana kama tutaendelea kuiangalia imani inasema nini juu ya ndoa, za mke mmoja, basi tutakuwa tunazidi kuupeleka ulimwengu kweli dhambi na laana.
Mfalme suleiman ndo nani?Umeandika ufuska,dhambi na laana na unazidi kuupeleka ulimwengu kwenye dhambi zaidi
Alafu unasema tusisikilize imani inasema Nini lakini mwisho unasema "tunaipelwka dunia kwenye dhambi na laana" sasa kama hutaki tuisililize imani unataka tuepuke vipi dhambi na Hio laana kama nilivyo kwambia umeandika dhambi na laana
HII NI ZAIDI YA KUFURU HAHAHAHAHA ET UNAMPINGA MUNGU.
ALISEMA MFALME SULEIMAN "HATA MJINGA AKIKAA KIMYA ATAHESABIWA HEKIMA" MLETA UZI UNAONAJE UKAKAA KIMYA ILI TUKUHESABIE ANGALAU KILE KIDOGO UNACHOSTAHILI
Vifanyio vya mwendo kasiKwa vifanyio vipihivihivi vya pweza, be serious ndugu