RWANDES
JF-Expert Member
- Jun 12, 2019
- 1,736
- 4,298
Mama awali nilimsikia kule mkoa wa arusha kwamba ameamua kukaa kimya na watu walimshangilia sasa sijui kukaa kimya ndiyo kutuaminisha kwamba ni mkomavu wa kisiasa! jambo lililopo mbele yake siyo la yeye kukaa kimya huku chawa wake wakiendelea kumpigania yeye inatakiwa aamue nini kifanyike kuhusu mkataba wa bandari na Dp world kwa kuwa yeye ni raisi , mimi naona kama anashauliwa na vijana wake kukaa kimya kwenye sakata hili halimsaidii hata kidogo,
wananchi wameshakataa mkataba huo iweje raisi akae kimya na kama kukaa kimya abamaanisha wananchi watake wasitake mkataba lazima utekelezwe au yeye anamaanisha nini
Raisi wangu Dk Samia suluhu hasan kwa maoni yangu vijana wako wanatetea ugali wao kauli ya mzee kikwete ya changanya na za kwako imamashiko angalia mawazo ya wengi kwenye ukweli uwe ukweli na utoe mwelekeo hata kama mimi ungeniteua lazima ningekupigania kinafiki sasa swala hili la Dp world unaona ukae kimya litapoa lenyewe anayekwambia hivo anakucheka pembeni ! mwenye mamlaka ni wewe chombo kinavyozidi kwenda kikizama utachekwa wewe.
Udhauri wangu kwako swala la mkataba wa bandari na Dp world hauna itikadi za kidini bali vifungu vya mkataba huo ndivyo vinapigiwa kelele ! walioongea wote hakuna anayepinga uwekezaji bali hilo dude la mkataba lilivyokaa.