BUMIJA
JF-Expert Member
- Oct 19, 2011
- 5,949
- 11,288
Wasalaam. Kifo ni ahadi ya wote. Mhubiri 7:2.
Aheri kuiendea nyumba ya matanga,kuliko kuiendea nyumba ya karamu.
Kwa maana huo ndio mwisho wa binadamu wote, naye aliyehai atautia moyoni mwake.
Walio hai wanajua ipo siku watakufa ila Mungu katupa kitu kusahau.
Kifo ni siri kubwa sana katika maisha ya mwanadamu.
1 Wathesalonike 4:13...Lakini ndugu hatutaki mjue habari za waliolala mauti, msije mkahuzunika kama wasio na matumaini.
Wakristo wanaamini upo ufufuo siku ya mwisho.
Waislamu wanasema ipo siku ya kiama yaani hukumu.
Kama ukifa na imani yako lipo tumaini.(Zaburi 116:15).
Ukifikiria kuhusu kifo unaweza usifanye maendeleo kwa kuhofia kwamba utakufa.
Lakini unaowaacha unawaachaje endapo we ni mzazi umekufa ghafla?
Binadamu hatuijui kesho yetu(Yakobo 4:14)wakakini ham hamjui yatakayokuwepo kesho.Uzima wenu ni nini?
Maana ninyi ni mvuke uonekanao kwa kitambo, kisha kutoweka.