Dhamira ya kuichafua TISS kwa udi na uvumba

Rich Hash

Senior Member
Mar 7, 2017
149
203
Inaonekana kuna mkakati wa makusudi wa kuzichafua taasisi za serikali kwa mbinu chafu. Kumbuka kuna baadhi ya vyama au wanasiasa wenye kutaka kufikia malengo yao kwa gharama yeyote ile, na hata kuwatoa watu kafara au kwa kutengeneza mazingira ya kuwatoa watu kafara kwa malengo yao ya kisiasa.

Nirejee mlolongo wa mambo
  • Operation Ukuta- lengo ilikuwa kuifanya nchi isitawalike; viongozi wa dini hawakuwa pamoja nao
  • Matukio yanayoendelea Bungeni na kuhusianisha TISS
  • Maafa ya Kagera-tetemeko (tumesahau pia mtwara walipotea watu 84 na kilosa pia kulitokea majanga)
  • Uvamizi wa Clouds TV na kuambatanishwa na Usalama wa Taifa
  • Tukio la kutolewa bastola Nape na kuhusishwa na Usalama wa Taifa, Mategemeo yalikuwa wamkamate apate more publicity
  • Nia ya baadhi ya wabunge kutaka kumwondoa waziri mkuu
  • Kutangazwa kwamba kuna ugonjwa wa zika nchini
  • Kusudio la kutaka kupandisha bei ya huduma zitolewazo na serikali (Umeme-kumbuka mwaka uliotangulia walishusha bei)
  • Makusudi ya kuaminisha kuwa Tanzania kuna janga la njaa
  • Matukio ya kutekwa wasaanii-ambapo hakuna hata maelezo kamilifu
  • Matukio ya kuvamiwa mkutano wa CUF
  • Matukio mengi kwa sasa kuhusishwa na usalama wa taifa.
Na ukiangalia reaction inatoka wapi kwa haraka haraka-utaelewa

Na ukiangalia kwa makini-mikakati imeenda mpaka wanawafikia Usalama wa Taifa (TISS). Matumani yao ni kwamba wakishaivuruga idara hiyo basi na kwingine watafanikiwa. Kumbuka unapozungumzia usalama wa taifa unazungumzia nini.

Ila kwa maoni yangu nadhani serikali imeshakwisha litambua hili, na mkakati unaelekea kufilisika.

Panzi Mchanga
 
Mungu hamfichi mnafiki, subiri your turn is on the door! Usitetetee uovu, tuukemee sote kwa umoja wetu!
 
TISS ilikuwa enzi za Nyerere watu kupata kazi kwa uwezo sio hii ya sasa hivi mlikojazana watoto wa vigogo kuanzia wale wa ndoa mpaka wa nje ya ndoa. Sasa hivi huko TISS hata dada yako akitoa mbunye kwa watawala tu unapata kazi. Zamani kumjua TISS ilikuwa shughuli, lakini siku hizi hata TISS akilewa tu ndio ujiko wa kuchukulia barmaid huku akionyesha bastola kila saa. Kenge ww mleta uzi ukidhani bado watu wanashoboka na TISS.
 

Unaonesha ni jinsi gani ulivyo mnduku
 
Kama dhamira ndio hii basi hawa wachafuzi hawana nia njema na taifa hili, ni chui wenye ngozi ya kondoo kabisa.
Kwa mpenda amani yeyote hawezi kukubali hili, ila kwa wapenda vyeo hawaoni athari ya hili.
Good! kama imegundulika mapema ni vizuri kwa ustawi wa taifa. Mungu Ibariki Tanzania.
 
Wakuu, naomba msumbue akili zenu kwa kuangalia details za wahusika wanaopost upuuzi kama huu, mtagundua kitu kimoja:- Mwezi machi, 2017 unaongoza kwa watu kuanzisha ID fake na kupost upumbavu. Hawa ni wale wale na vi-line vya bure (wanafunzi) vya tigo.
 
Nafasi zimetoka nikupe link?
 
hebu ondoa pumba zako hapa
nani ana mkakati wa kuichafua hiyo tiss kama si wao wanajinajisi wenyewe kwa mambo yao ya kipuuzi wanayofanya?
hivi hata suala la ugonjwa wa zika ni wapinzani ndo walimtuma yule dada yake Le kubwa jingazz kuutangaza..??
au kuna uhusiano gani kati ya zika na wapinzani kuhujumu tiss..?!
ama kweli nchi hii ina watu viazi hasa..
 
TISS ya zamani wenye kutumia uwezo wote wa akili tuliitamani kweli kweli. Tulikuwa tumezungukwa vilivyo na maadui lakini tulibaki kuwa salama. Hebu wakumbushie kile kisa cha "Zangira" wa pale kilimanjaro hotel.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…