Dhamira njema ya Rais Magufuli imetiwa doa na mambo mawili

Kibo10

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
11,277
8,850
Alipoingia madarakani alionyesha kama mtu mwenye dhamira ya kweli na uzalendo uliotukuka juu ya taifa letu.

Lakini mambo mawili tu,Yameichafua dhamira ya Rais magufuli kabisa.

1.Bashite
2.Lugumi

Na endapo ataendelea kufumba macho juu ya hayo.Maombi yatapungua na uhalali wa kukemea wengine utatoweka.Hata kama watakuwa na makosa.Rais wangu rudi nyuma endelea na dhamira ile njema.Tumbua bashite na Lugumi ujihalalishe kwa watz.
 
Yaani unaona hayo mawili tu?? Rudi ukavae miwani halafu uchunguze tena.
 
Umeongea yanayokuhusu, sisi watu wa Kagera tunamuachia Mungu.
1. Tumechangiwa Rambi Rambi, zimekwenda kwenye miundombinu
2. Tumemfunga Simba Koko, points zimepelekwa kushindana na Yanga

Sawa tu...Mungu yupo!
 
Kila siku anatuambia yeye hakudhamiria kuwa Rais, eti alikuwa ana-beep tu na nyie watanzania mkampigia. Ona sasa hatuelewi nini kinaendelea nchini. Kila kukicha hujui mzee atakuja na nini. Hasimamii maneno yake. Alisema hatamteua mtu ambaye ni kutoka upinzani, lakini amemteua Kitila wa ACT- Wazalendo na Lyatonga Mrema wa TLP. Hili ni janga kwa Taifa letu.
 
Hayo majipu yamekaa pabaya , so kila jipu ni la kutumbua.
Hakiwatumbua hao nitakunya mavi madogo madogo kutoka posta mpaka kariakoo.
 
Mtu huyu hajapata kuwa na dhamira njema hata siku moja.

Zilikuwa ni lugha tu za kuposea. Wenye imani naye watasubiri sana.

Ni mchimba dhahabu tu kama walivyo wachimba dhahabu wengine.
 
Ukishakuwa na kansa ni kwamba unangojea kifo tu!



Do not generalize ;sio kweli, hiyo ilikuwa imani ya zamani. Kuna watu wamepona maradhi hayo na wanaishi kwa raha mstarehe kuliko wewe usiyejua hali ya afya yako kwavile hujapima!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…