DESIGN: Biashara ya Lodge Vyumba 16... Mapato Zaidi ya 70Mil/Mwaka

Nyumba Nafuuu

JF-Expert Member
Nov 29, 2016
391
398
Tumeandaa design hii ya lodge (guest House) ambayo mchanganuo wake up hapa chini

--> Wageni Wamekuwa Wengi, Anzisha Biashara na Uwekezaji wa Lodge (Vyumba 16 self)

Mawasiliano: +255-657-685-268

--> Mpangilio wa Vyumba, Makadirio Gharama Ujenzi & Ufundi, Ukubwa wa Kiwanja

==> MAKADIRIO YA MAPATO YA KILA MWAKA YA LODGE

  • Mapato ya kila siku kwa chumba: 25,000 TZS
  • Mapato ya kila siku kwa vyumba vyote 16: 25,000 TZS x 16 vyumba = 400,000 TZS
  • Assumption ya kiwango cha kujazwa (50%): 400,000 TZS x 0.5 = 200,000 TZS
Mapato ya kila mwaka: 200,000 TZS x 365 siku = 73.0 milioni TZS

==> MAKADIRIO YA GHARAMA UJENZI KWA KUTUMIA FUNDI MZURI (VIFAA + UFUNDI) ktk Shillingi ya Kitanzania
  • Msingi: Sh 23,793,204
  • Ukuta: Sh 16,390,445
  • Zege: Sh 11,597,012
  • Paa: Sh 31,157,307
  • Madirisha: Sh 22,420,891
  • Milango: Sh 20,352,757
  • Sakafu: Sh 14,187,012
  • Dari: Sh 10,070,072
  • Rangi: Sh 9,780,147
  • Maji taka: Sh 11,519,700
  • Mabomba: Sh 11,210,445
  • Umeme: Sh 7,016,193
  • Mengineyo: Sh 2,280,746

Imeandaliwa Kiuchumi: Unaweza Jenga Sections Kwa Awamu Huku Unaendelea Kufanya Biashara kwa Ulichojenga!
IMG-20240108-WA0022(1).jpg

Kuona Ramani yake na kupata full technical documents Kwajili ya ujenzi, jumla ya kurasa around 18,
Wasiliana nami: +255-657-685-268

IMG-20240108-WA0014.jpg
IMG-20240108-WA0012.jpg
IMG-20240108-WA0013.jpg
IMG-20240108-WA0015.jpg
 
Good design, mpangilio mzuri sana ila kwenye mapato hapo weka maximum ya 35M kwa mwaka ambayo sio mbaya.... Naijua hii biashara Ina changamoto sana labda upate eneo dar huko kwenye watu wengi ambapo kujaza ni kawaida sana

Kuna mikoa ipo siku muhudumu analala mwenyewe
 
Assumptions yangu nimeweka 50% occupancy
-- maana Yake Kwa Siku unapata wateja 8 Kati ya 16

Assumption pia upo eneo lenye Wateja...
 
Assumptions yangu nimeweka 50% occupancy
-- maana Yake Kwa Siku unapata wateja 8 Kati ya 16

Assumption pia upo eneo lenye Wateja...
Ungeweka 25% tu kama overall... Hii biashara Kuna maeneo ni kichaa, watu wanafunga lodge wanapangisha vyumba
 
  • Kicheko
Reactions: BRB
Ila michoro na mawazo ya biashara huwa yanavutia sana. Kuna mtu mmoja huwa ana wivu sana anaitwa uhalisia, yeye akija kazi yake nikuharibu na kukatisha tamaa mawazo na michoro mingine mizuri ijayo!!
😂😂😂
 
Good design, mpangilio mzuri sana ila kwenye mapato hapo weka maximum ya 35M kwa mwaka ambayo sio mbaya.... Naijua hii biashara Ina changamoto sana labda upate eneo dar huko kwenye watu wengi ambapo kujaza ni kawaida sana

Kuna mikoa ipo siku muhudumu analala mwenyewe
Pia, utabadilisha Sana Wahudumu wa gest. Maana mimba kila uchwao, maana wateja tunapena kavu kavu
 
Back
Top Bottom