Deschamps ashangaa Mbappe kuipotezea Ufaransa upande wa pili akubali kuichezea Real Madrid

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
2,628
6,294
Kocha wa Timu ya Taifa ya Ufaransa, Didier Deschamps amesema ameshangazwa na uamuzi wa Kylian Mbappe kuomba kupumzishwa katika Timu ya Taifa ili awe fiti baada ya kupona majeraha lakini mchezaji huyo ameonekana akicheza klabu yake ya Real Madrid.

Mbappe (25) alipata majeraha ya thigh injury akaukosa mchezo wa Madrid dhidi ya Atletico Madrid lakini amecheza mechi dhidi ya Lille na Villarreal japo zote hakufanikiwa kufunga.

Nyota huyo amekuwa na presha kubwa klabuni kwake kwa kuwa licha ya matarajio kuwa makubwa bado hajaonesha makali mfululizo kama alivyokuwa akifanya alipokuwa Monaco na PSG za Ufaransa.

============ ---------------------------------​

Didier Deschamps is 'STUNNED' by Kylian Mbappe as Real Madrid make key decision after the Les Blues captain wasn't selected for national team duty

France head coach Didier Deschamps was left stunned after seeing Kylian Mbappe included in Real Madrid's weekend squad just a day after refusing to select him for national team duty, according to reports.

Mbappe is captain of the France national team and was the shock name missing when Les Bleus head coach Deschamps picked his squad for upcoming UEFA Nations League clashes.

The 25-year-old is the focal point of France's attacks and the team have previously struggled in his absence, but will have to do so again when they take on Israel and neighbouring Belgium.

A recent thigh injury kept him out of Madrid's previous 1-1 draw against derby rivals Atletico last weekend and it was also expected to keep Mbappe sidelined for a longer period of time.

However, the striker made a quick recovery and came off the bench in Madrid's shock midweek Champions League defeat against Lille - with his younger brother leading the French team's celebrations.

He has now been named in Madrid's squad to face Villarreal on Saturday evening, despite Deschamps not selecting him so he could take longer to recover from his injury.

The move has caught French football representatives by surprise with Deschamps not made previously aware that Mbappe was going to feature, as reported by L'Equipe.

The French media outlet have even made Mbappe's selection the cover of their day's print edition as concerns grow over his ability to play for Madrid but not France.

Deschamps previously explained his decision not to pick the superstar because he doesn't want to take unnecessary risks and would rather leave his star player at home to recover with bigger matches waiting ahead.

'I had an exchange with Kylian. He has a problem which is not serious,' Deschamps previously told reporters in Paris.

'I am not going to take risks, which is why he is not in the squad,' he added.

However, Madrid boss Carlo Ancelotti has insisted that Deschamps and France's medical team were told of Mbappe's playing condition by the club's medical staff.

'Deschamps has decided not to call him up,' said Ancelotti when explaining his squad for the weekend.

'Mbappe spoke with his selector and I also know that the club's medical staff spoke with the medical staff of the French selection. So they spoke and decided to make this decision,' he added.

It is yet to be seen what role Mbappe will play against Villarreal with it expected that he will start the LaLiga clash on the bench.

Source: Dailymail
 
Mbappe anabanwa na timu yake ila hawezi kusema directly.
 
Alimbania Benzema ye akishirikiana na daktari wa team
Imagine Ile pasi ya mwisho Mbape angempa Benz boy Argentina wasingetoka hata 120 wasingefika
Karim alikua majeruhi lakini hizi nyingine nadhani ni tetesi tu !! Angemweka akacheza chini ya kiwango mgempopoa tena 🤣🤣 Me naamini France walicheza kwa kiwango kikubwa sana maana ile comeback haikua ya kawaida ila Argentina hakuwa kizembe !nae alikua kapania
 
Karim alikua majeruhi lakini hizi nyingine nadhani ni tetesi tu !! Angemweka akacheza chini ya kiwango mgempopoa tena 🤣🤣 Me naamini France walicheza kwa kiwango kikubwa sana maana ile comeback haikua ya kawaida ila Argentina hakuwa kizembe !nae alikua kapania
Hadi wanafika nusu alikuwa ameshapona na aliomba kuitwa ila kocha na Dr wakalazimisha kuwa hayuko sawa ndio maana baada ya Yale mashindano akatangaza kustaafu team ya taifa (kwa hasira)
 
Kijana anataka aweke mizizi Bernabeu kwanza! France wana wachezaji wengi awape nafasi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom