The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 633
- 1,082
Hata kama ni mwizi mayai3!Dereva bodaboda anayefahamika kwa jina la Dickson Chacha(24), aliyekuwa mkazi wa Mtaa wa Machimbo kata ya Kipunguni jijini Dar es Salaam, amefariki dunia kwa kupigwa akidaiwa kuiba mayai matatu kwenye moja ya nyumba inayofuga kuku wa mayai kwenye mtaa huo.
Mama wa kijana huyo ameomba vyombo vya sheria kuingilia kati ili haki ya mtoto wake iweze kupatikana kwani waliotekeleza tukio hilo wanawaona mtaani wakitamba kuwa hawawezi kushindana na watu wenye pesa.
Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Machimbo, Evana Isaya amekiri tukio hilo kutokea mtaani kwake, akidai kuwa kijana huyo aliingia kwenye nyumba ya watu usiku hivyo akashambuliwa hadi kufikia umauti wake, huku akiomba wananchi kutojichukulia sheria mkononi kwa matukio hayo.
View attachment 3227774
Wamechukulia Dhambi ni Dhambi,kubwa na mdogo zote ni sawa! Hatari sana,watu wamevulugwa.Mayai matatu mbona kidogo sana kiasi cha kuchukua uhai wa mtu(Ndio wizi ni mbaya lakini hukumu aliyopata kijana na kosa lake havina uwiano sawa)
Ah huyu bwege katuaibisha wana bodaboda. Wee ukafe kisa mayai matatu wakati wenzie tunakufa kisa umemkula mbususu mke wa mtu.Dereva bodaboda anayefahamika kwa jina la Dickson Chacha(24), aliyekuwa mkazi wa Mtaa wa Machimbo kata ya Kipunguni jijini Dar es Salaam, amefariki dunia kwa kupigwa akidaiwa kuiba mayai matatu kwenye moja ya nyumba inayofuga kuku wa mayai kwenye mtaa huo.
Mama wa kijana huyo ameomba vyombo vya sheria kuingilia kati ili haki ya mtoto wake iweze kupatikana kwani waliotekeleza tukio hilo wanawaona mtaani wakitamba kuwa hawawezi kushindana na watu wenye pesa.
Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Machimbo, Evana Isaya amekiri tukio hilo kutokea mtaani kwake, akidai kuwa kijana huyo aliingia kwenye nyumba ya watu usiku hivyo akashambuliwa hadi kufikia umauti wake, huku akiomba wananchi kutojichukulia sheria mkononi kwa matukio hayo.
View attachment 3227774
Kwani kunahusianaje na Hii?!CAG akisoma gabari hii,anajisikiaje
Changamoto sana(Sasa what if nao sheria ikachukua mkondo wake? Yani unaenda gerezani kizembe hivi.Wizi ni mbaya lakini kuna mda hekima inasaidia)Wamechukulia Dhambi ni Dhambi,kubwa na mdogo zote ni sawa! Hatari sana,watu wamevulugwa.
Wewe ni noma!Ah huyu bwege katuaibisha wana bodaboda. Wee ukafe kisa mayai matatu wakati wenzie tunakufa kisa umemkula mbususu mke wa mtu.
Hovyo kabisa huyu wanazengo wamefanya poa sana kumrest in peace
Watu waiba mabilioni ya fedha za serikali,hata kituo cha polisi hawafikishwi,sebuse mahakamani.Kwani kunahusianaje na Hii?!
Wanaweza kuhamia eneo! wengine hata Chanzo Huwa hawajui!Mradi tuu,kumeitwa,mwizi.Changamoto sana(Sasa what if nao sheria ikachukua mkondo wake? Yani unaenda gerezani kizembe hivi.Wizi ni mbaya lakini kuna mda hekima inasaidia)
Mngese huyu kija a sasa mayai matatu unaiba ya nini?Wewe ni noma!
Anaenda na mabao3!Kwanini muweke picha akiwa na uzi wa yanga tena uwanjani, kwani mlikosa picha zingine
Angeua yeye na kukumbia mngesemajeWalio tenda huu unyama kwa huyo dogo Karma ipo juu yao alipaswa kuadhibiwa kwa njia tofauti na waliyo ichukua.