Dereva bodaboda auawa akidaiwa kuiba mayai matatu

The Watchman

JF-Expert Member
Nov 7, 2023
633
1,082
Dereva bodaboda anayefahamika kwa jina la Dickson Chacha(24), aliyekuwa mkazi wa Mtaa wa Machimbo kata ya Kipunguni jijini Dar es Salaam, amefariki dunia kwa kupigwa akidaiwa kuiba mayai matatu kwenye moja ya nyumba inayofuga kuku wa mayai kwenye mtaa huo.

Mama wa kijana huyo ameomba vyombo vya sheria kuingilia kati ili haki ya mtoto wake iweze kupatikana kwani waliotekeleza tukio hilo wanawaona mtaani wakitamba kuwa hawawezi kushindana na watu wenye pesa.

Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Machimbo, Evana Isaya amekiri tukio hilo kutokea mtaani kwake, akidai kuwa kijana huyo aliingia kwenye nyumba ya watu usiku hivyo akashambuliwa hadi kufikia umauti wake, huku akiomba wananchi kutojichukulia sheria mkononi kwa matukio hayo.
Screenshot 2025-02-07 145153.png
 
View attachment 3227774
Hata kama ni mwizi mayai3!
 
Ah huyu bwege katuaibisha wana bodaboda. Wee ukafe kisa mayai matatu wakati wenzie tunakufa kisa umemkula mbususu mke wa mtu.
Hovyo kabisa huyu wanazengo wamefanya poa sana kumrest in peace
 
swala la wizi gumu sana ,lazima amechukua na adhabu za wizi wanaoibaga kuku 10 na mayai kuazia ma4
imewekwa difensi kwahao wengine
 
Back
Top Bottom