Nachelea kusema moja kwa moja kuwa ulikuwa umafia au LA. Afisa elimu wa Kwimba wakati akiwa shuleni kwetu kuhamasisha uchangiaji wa hiari wa madawati, mkurugenzi alimuita wilayani. MRATIBU mmoja wa elimu na kumkabidhi barua ya kuteuliwa kuwa D.E.O KWIMBA.
Sasa jambo linalonipa utata ni huyu Afisa alilijua jambo hili au ndio umafia ninaouzungumzia mimi? Sitaki kuhitimisha juu ya hili kwenye uelewa na masuala haya ya uongozi tupeni utaratibu mzima isijekuwa afisa huyu alitumbuliwa kama Kitwanga!!!!