Demu aliyeniambukiza gono kaja tena ghetto

Kiranja Mkuu

JF-Expert Member
Feb 18, 2010
4,210
4,579
Huyu demu nilikutana naye haja jamvini, nikajisogeza PM kwake na zozo zogozi likaanza taratibu, tukawa marafiki tukitoka mida ya jioni kazini tunapitia K Tea Shop kupata kikombe cha kahawa na sambusa.

Tuliendelea kwa wiki kadhaa, kabla sijaomba mchezo. NI yeye aliyetaka tukaangalie movie usiku, tulipotoka huko tukapita bar kusuuza makoo.

Baada ya hapo, tukiwa tumechangamkwa na akili tukaenda home. Mzee nikala mzigo kibabe sana.

Tangu hapo ikawa ndio jadi yetu. Wiki mbili zilizopita niliona napata maumivu wakati wa kukojoa. Hali ikawa mbaya kwani nikaanza kutokwa na usaha.

Haraka haraka nikaenda Hospitali ambapo nilipewa dawa za kumeza kwa siku tano.

Nimepona GONO, Jana usiku bibie kaja nyumbani, kapika kafanya yote. Nikatarajia ataondoka, hakuondoka. Anataka nimchekeche. Nimemwambia ukweli kwamba aliniambukiza GONO, ajiwahi asije akaambukiza wengine.

Akaanza kulia na kunisema kwamba nimemdhalilisha na kumvunjia heshima, yeye sio aina ya watu wanaoweza kuwa na GONO, yeye ni muungwana na mstaarabu, GONO nimepata kwenye umalaya wangu.

Sikuwa nanla kusema Ila kumuomba msamaha na kumshauri akapime na kuanza matibabu.

Waungwana, Waswahili wanasema kuti la mazoea ndilo humuangusha mgema. Tusisahau kutumia condom USAID hawapo tena.
 
Shukuru gono inatibika ungepata vvu ungetibuje
 
Inaonekan ulimkamia mungu alikuhumbua Kwa uroho wako jitoe ufahamu tena
 
Dah! Hatari san

Kitulize kiungo chako kiache kuruka ruka Trump ana mkataba na Tz tenaaa
 
Back
Top Bottom