Dilusions kama vile mtu anakua na mawenge? i mean mawazo flani hivi ambayo si halisi? Share experience yako usikute wapo wengi lakini hatujui dalili zake.Pole sana mkuu mimi si mtaalamu ila niliona hayo mambo kwenye movie tu ya Di Caprio inaitwa SHUTTER ISLAND mpaka leo sijaielewa. Get well soon mkuu.