Defence systems type S 400, S 350 na S 300 zalipuliwa huko Kusck - Russia

Muite

JF-Expert Member
Sep 10, 2013
2,825
6,262
Ukraine leo hii imefanya maajabu makubwa kusambaratisha mifumo ya Ulinzi ya Russia leo hii. Tena wamepiga kwa kutumia Drones tu.

The weakness of Russian Sophisticated and expensive Defence systems is exposed by Ukrainian Drones.

Aibu na fedheha kubwa sana hii kwa Russia.

Tukisema Russia anapigika na hana lolote naona warusi wa Kinyerezi wanakuja juu na kukasirika. Imagine huyo ni mtoto mdogo tu Ukraine, JE IKITOKEA NATO WAAMUE KUINGIA MAZIMA SI HIYO RUSSIA ITAKUWA GAZA TU.

TIME WIL TELL
 
Leta source mkuu kwasbb system ya hiyo mifumo ikae sehemu moja inakua je xote xilipkliwe
 
Ukraine leo hii imefanya maajabu makubwa kusambaratisha mifumo ya Ulinzi ya Russia leo hii. Tena wamepiga kwa kutumia Drones tu.

The weakness of Russian Sophisticated and expensive Defence systems is exposed by Ukrainian Drones.

Aibu na fedheha kubwa sana hii kwa Russia.

Tukisema Russia anapigika na hana lolote naona warusi wa Kinyerezi wanakuja juu na kukasirika. Imagine huyo ni mtoto mdogo tu Ukraine, JE IKITOKEA NATO WAAMUE KUINGIA MAZIMA SI HIYO RUSSIA ITAKUWA GAZA TU.

TIME WIL TELL
Mnashabikia vifo na uharibifu wa mali kama mnavyoshabikia mpira wa simba na Yanga, enyi watz nani aliyewaroga ?
 
Ukraine leo hii imefanya maajabu makubwa kusambaratisha mifumo ya Ulinzi ya Russia leo hii. Tena wamepiga kwa kutumia Drones tu.

The weakness of Russian Sophisticated and expensive Defence systems is exposed by Ukrainian Drones.

Aibu na fedheha kubwa sana hii kwa Russia.

Tukisema Russia anapigika na hana lolote naona warusi wa Kinyerezi wanakuja juu na kukasirika. Imagine huyo ni mtoto mdogo tu Ukraine, JE IKITOKEA NATO WAAMUE KUINGIA MAZIMA SI HIYO RUSSIA ITAKUWA GAZA TU.

TIME WIL TELL
Picha?
 
Hivi wewe jamaa kweli unachekesha.
Hivi ikitokea vita ya moja kwa moja baina ya Urusi na NATO ndio unataka kusema hakuna hata silaha moja ya NATO haitapigwa?
Hivi hakuna patriot zilizoharibiwa,au kama ADS za NATO ni Bora vipi Israel inapigwa na silaha za Iran.
Kwa hiyo S400 kupigwa na dron ndio umehitimisha Urusi ni dhaifu..
Nilitaka kuamini kweli una ufahamu mkubwa kama unavyojinasib kumbe sivyo.
Hii hita wapo NATO,usitegemee Ukraine ikawa inapigwa Kila siku ,kwa sababu vita ni piga nikupige.
Vita ni kuviziana Sasa hao NATO wamevizia wamepiga hizo ADS kesho Urusi nae atafanya hivyo unashangaza sana wewe.
 
Hivi wewe jamaa kweli unachekesha.
Hivi ikitokea vita ya moja kwa moja baina ya Urusi na NATO ndio unataka kusema hakuna hata silaha moja ya NATO haitapigwa?
Hivi hakuna patriot zilizoharibiwa,au kama ADS za NATO ni Bora vipi Israel inapigwa na silaha za Iran.
Kwa hiyo S400 kupiga na dron ndio umehitimisha Urusi ni dhaifu..
Nilitaka kuamini kweli una ufahamu mkubwa kama unavyojinasib kumbe sivyo.
Hii hita wapo NATO,usitegemee Ukraine ikawa inapigwa Kila siku ,kwa sababu vita ni piga nikupige.
Vita ni kuviziana Sasa hao NATO wamevizia wamepiga hizo ADS kesho Urusi nae atafanya hivyo unashangaza sana wewe.
Ni kweli NATO wanaisapoti Ukraine. Lakini hoja yangu ni kwamba kama hivi tu NATO haijaingia full mkoko lakini to some extent Russia anapata madhara, je, hao NATO watakapoingia mazima itakuaje?
Pia kwa tathimini ndogo tu inaonyesha iwapo vita kamini vinaibuka btn NATO Vs Russia basi resistance ya Russia kwa NATO itakuwa kubwa na yenye madhara kwa NATO lakini Russia atashindwa tu . NATO will declare VICTORY(Ni dhahiri).
Pia Pro Russia mmekuwa na tabia za kutia chumvi sana kuhusu uwezo wa S 400. Kumbe inapigika kirahisi tu hivyo .
 
Tumeona hata Patriot,Thaad na ADS nyingine za NATO zimepigika.
Uzuri vita hii inatuonesha Kila kitu,wote tuko hapa tunaona.
Ni kweli NATO wanaisapoti Ukraine. Lakini hoja yangu ni kwamba kama hivi tu NATO haijaingia full mkoko lakini to some extent Russia anapata madhara, je, hao NATO watakapoingia mazima itakuaje?
Pia kwa tathimini ndogo tu inaonyesha iwapo vita kamini vinaibuka btn NATO Vs Russia basi resistance ya Russia kwa NATO itakuwa kubwa na yenye madhara kwa NATO lakini Russia atashindwa tu . NATO will declare VICTORY(Ni dhahiri).
Pia Pro Russia mmekuwa na tabia za kutia chumvi sana kuhusu uwezo wa S 400. Kumbe inapigika kirahisi tu hivyo .
Mifumo ya S400 inafanya vizuri TU,lkn kupigwa na drone haiondoi uwezo wake ,kumbuka S400 hazikudizainiwa kutungua drone,lkn je Patriot,Thaad na ADS nyingine za west hazipigiki?
Wala tusiende mbali Kila siku Urusi anapiga Ukraine na hizo ADS za NATO zipo,je huo sio udhaifu wa ADS za NATO?
Kwa hiyo nyinyi silaha ya Urusi ikipigwa ndio mnaiondolea Urusi uwezo wake?
Hata hivyo unaposema kwamba Urusi ikipigana na NATO itashindwa mara moja nakuona wewe na wenzako wenye hoja kama hiyo ni mna uwezo mdogo wa kufikiri .
Uwezo wenu mdogo wa kufikiri ni pale mnapoipa heshima kubwa Russia kwa kulinganisha nchi moja dhidi ya nchi 59 zote zenye uchumi mkubwa na teknolojia za Hali ya juu kabisa hapa duniani.
Hakuna asiejua nchi za west zina teknolojia ya Hali ya juu kabisa na pia ndio zilizokua zinaongoza kwa uchumi mkubwa kwa miongo kadhaa.
Sasa Leo nchi moja inakabiliana na nchi 39 za NATO pamoja na nchi nyingine za west ambazo sio NATO halafu unatokea mzinza mmoja unaiona Urusi eti ni dhaifu,hivi nyinyi hata hesabu za kichwa hamkusoma?
Mimi nakuambia hivi Leo hii hata kama ikitokea Urusi ikipigana na NATO na all collective west na Urusi ikashindwa Mimi ntaiona imeshinda.
Hata hivi Leo hii Urusi inapopigana na Ukraine ambayo inapewa Kila kitu inachotaka kutoka west bado naiona Urusi kama sio nchi ya kawaida.
Hebu fikiria USA na washirika wake ambao ni NATO na wengineo walipigana na (Al-Qaida na Watalaban TU ambao kwanza ni vikundi TU,havikua na navy,air force wala landforce iloyokamilika,na wala havikua na uchumi mzuri na havikua vinapata misaada kutoka sehemu yoyote ile Kwa miaka 20 na wakawashindwa), je hao USA na NATO tuwaweke kwenye kundi Gani?
Najua hupendi kusikia lakini Urusi peke yake kulinganisha na muungano wa nchi zote za west ambao yumo huyo tunaamini ni superpower wa Dunia USA ni kuipa heshima kubwa sana Urusi.
Hata kama ikishindwa itakua imeshindwa na kundi kubwa la majambazi ya Dunia.
 
Ni kweli NATO wanaisapoti Ukraine. Lakini hoja yangu ni kwamba kama hivi tu NATO haijaingia full mkoko lakini to some extent Russia anapata madhara, je, hao NATO watakapoingia mazima itakuaje?
Pia kwa tathimini ndogo tu inaonyesha iwapo vita kamini vinaibuka btn NATO Vs Russia basi resistance ya Russia kwa NATO itakuwa kubwa na yenye madhara kwa NATO lakini Russia atashindwa tu . NATO will declare VICTORY(Ni dhahiri).
Pia Pro Russia mmekuwa na tabia za kutia chumvi sana kuhusu uwezo wa S 400. Kumbe inapigika kirahisi tu hivyo .
NATO will declare victory (ni dhahiri)
Aisee naona hapa umeshachukua nafasi ya Mungu kujua kesho.
Wewe unachotakiwa kusema TU ni kwamba Urusi na NATO wanaweza kupigana lkn kujua nani mshindi hiyo muachie Mungu.
Hata Urusi na Putin wenyewe wanasema wakipigana Urusi na NATO there will be no winner.
Hata USA wanasema hivyohivyo
Baba vita vya nyukilia havina mshindi.
Rais wa Belarus anasema huwezi ukaishinda nchi yenye nyukilia.
 
Pia kwa tathimini ndogo tu inaonyesha iwapo vita kamini vinaibuka btn NATO Vs Russia basi resistance ya Russia kwa NATO itakuwa kubwa na yenye madhara kwa NATO lakini Russia atashindwa tu
Mtanzania Tena kama kawaida Kwa ujuaji,eti kwa tathmini Yako Russia atashindwa TU.
Hivi umefatilia kwa makini jinsi USA , German,UK na France na Poland walivyokua wanaijenga Ukraine kijeshi Kwa Siri ili waje waitumie kupigana na Urusi na kisha kuishinda Urusi.?
Haya sio maneno yangu,nilisoma makala ilikua inaelezea hayo.
Ukraine baada ya kumpindua yule Rais Yanukovic kwa maandamano ,west waliamua kuindaa kwa silaha,miundombinu ya kijeshi Kwa ajili ya vita na Urusi mafunzo,silaha na Kila kitu.
Hadi Ujasusi.CIA walijenga makambi ya Siri karibu Kila mikoa ya Ukraine,hii yote ni kuiandaa Ukraine kuja kuitumia kupigana na Urusi.
Sio makambi ya ujasusi na kijeshi TU,Hadi vituo vya kutengeneza silaha za sumu yalijengwa wakiwa na Nia ya kutaka kuja kupigana na Urusi baadae ili kuishinda .
Sasa kwa maandalizi hayo wameshindwa Nini kama wao kweli Wana nguvu hizo unazozisema?
Nakupa mfano maarufu humu jukwaani,kama waliweza kuishinda Yugoslavia,Iraq na Libya wanashindwa Nini Sasa kuishinda Urusi ambayo kama nilivyoeleza hapo juu walijizatiti muda mrefu kwa mipango ,fedha,mafunzo na Kila aina ya utaalamu kuindaa Ukraine ili waje waitumie kuipiga Urusi na kuishinda?
Wanashindwa Nini Sasa?
Ndugu yangu Urusi sio ya kushindwa kirahisi hivyo kama uanvyosema.
Urusi sio Libya wala Iraq.
 
Ni kweli NATO wanaisapoti Ukraine. Lakini hoja yangu ni kwamba kama hivi tu NATO haijaingia full mkoko lakini to some extent Russia anapata madhara,

Hata Urusi nae hajaingia full mkono,siku NATO wakiingia full mkono nae Urusi ataingia full mkono,ndio maana wanaiita Special Military Operation.
Hata juzi wew mwenyewe ni shahidi kua kumbe kuna silaha hatari sana Urusi bado walikua hawajazitumia,mfano ni kombora jipya.
 
Ukraine leo hii imefanya maajabu makubwa kusambaratisha mifumo ya Ulinzi ya Russia leo hii. Tena wamepiga kwa kutumia Drones tu.

The weakness of Russian Sophisticated and expensive Defence systems is exposed by Ukrainian Drones.

Aibu na fedheha kubwa sana hii kwa Russia.

Tukisema Russia anapigika na hana lolote naona warusi wa Kinyerezi wanakuja juu na kukasirika. Imagine huyo ni mtoto mdogo tu Ukraine, JE IKITOKEA NATO WAAMUE KUINGIA MAZIMA SI HIYO RUSSIA ITAKUWA GAZA TU.

TIME WIL TELL
Mleta mada Kusck iko nchi gani? Au ulimaanisha Kursk iliyoko Russia?

Kama ulimaanisha Kursk iliyoko Russia, hebu tuwekee chanzo cha hiyo taarifa yako tuweze kujisomea wenyewe kwa kina.

Sijasikia wala kuona taarifa kama hiyo katika kituo chochote kati ya vitatu vya nchi za magharibi ambavyo huwa navifuatilia sana; kuanzia BBC, France English channel na Sky News.

Hata Al Jazeera pia sijasikia wala kuona taarifa kama hiyo ambayo ni BIG NEWS!!

Weka source mkubwa tujisomee wenyewe tusikuchoshe!!
 
Ni kweli NATO wanaisapoti Ukraine. Lakini hoja yangu ni kwamba kama hivi tu NATO haijaingia full mkoko.

Wala usiseme kwa sauti ya chini na kupunguza uzito wa habari kua NATO wanaisapoti Ukraine.
NATO wanapigana bega kwa bega na Ukraine dhidi ya Urusi.
Hebu fikiria Ukraine anaepigwa na Urusi lkn anaenda kuomba ruhusa kwa wenye makombora Yao ili apige ndani ya Urusi.
Hivi kama UK, France na Germany mfano wakishambuliwa na Urusi yale makombora Yao ya masafa marefu wataenda kuomba ruhusa kwa USA ili kuipiga Urusi?
Ama kama Ukraine angekua ana makombora yake ya kutengeneza mwenyewe angeenda kuomba ruhusa kwa USA UK France na Germany?
Kwa kifupi NATO wanapigana kwa Hali na Mali pamoja na Ukraine dhidi ya Urusi NATO wanatamani sana kumshinda Urusi lkn Ngoma imekua ngumu.
Ukitaka kujua wanatamani kumshinda ni jinsi idadi kubwa ya vikwazo walivyomwekea na idadi kubwa ya misaada ya silaha ambayo hakuna nchi imepewa misaada mingi vile toka kuumbwa kwa Dunia.
 
Back
Top Bottom