mdeki JF-Expert Member Mar 28, 2011 3,299 474 May 4, 2016 #1 Kichwa cha habari chahusika, huyu mkurugenzi imepita miezi sasa hajatulipa pesa zetu tunamuomba waziri husika umuwajibishe maana tumemwandikia barua hataki kutupa haki yetu, ntarudi
Kichwa cha habari chahusika, huyu mkurugenzi imepita miezi sasa hajatulipa pesa zetu tunamuomba waziri husika umuwajibishe maana tumemwandikia barua hataki kutupa haki yetu, ntarudi
CK Allan JF-Expert Member Aug 14, 2013 2,781 6,065 May 4, 2016 #2 specify Mkuu.. mitihani ipi la saba.. kidato cha NNE au cha pili au mitihani ya ualimu ? na je uliwasiliana na necta?
specify Mkuu.. mitihani ipi la saba.. kidato cha NNE au cha pili au mitihani ya ualimu ? na je uliwasiliana na necta?
mdeki JF-Expert Member Mar 28, 2011 3,299 474 May 4, 2016 Thread starter #3 Mitihani ya Taifa kidato cha nne, wizara inasema ishalipa lakini halmashauri haijalipa