ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 6,208
- 15,103
Sijui ni Kwa maksudi au ndo ulivyo kifikra, unamuangusha Rais wetu Samia aliyekuamini ona Sasa unamchonganisha na wananchi wake.
Juzi tu ulienda kukamata watu ukisingizia ni makahaba na umefunguliwa kesi mahakama kudaiwa billion 36.
Leo unawahangaisha machinga wenye maisha magumu ukitaka kukabidhi eneo lao Kwa waliofeli mwendo kasi DART.
Aibu imempata umefukuzwa kama mbwa Koko na machinga.
Rais Samia mtoe huyu jamaa kwenu UDC angalia kwenye Ghala lako tuletee kiongozi mwingine mwenye hekima.