LGE2024 DC Mafia, Mangosongo adaiwa kuwaondoa mawakala wote wa ACT Kwenye vituo vya kupigia kura

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Waufukweni

JF-Expert Member
May 16, 2024
1,105
2,637
Mkuu wa wilaya ya Mafia, Aziza Ally Mangosongo amewaondoa mawakala wote wa ACT Kwenye vituo vya kupigia kura.

 
Afisa uchaguzi wa jimbo la MAFIA ni kada wa CHAMA CHA MAPINDUZI.
Aloshawahi kugombea nafasi fulani ya vijana akiwa idara ya mipango.
Hapawezi kuwa na uchaguzi MAFIA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…