Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 1,504
- 3,985
Mkuu wa wilaya ya Mafia, Aziza Ally Mangosongo amewaondoa mawakala wote wa ACT Kwenye vituo vya kupigia kura.
Sijui kama unayoyasema ni kweliAfisa uchaguzi wa jimbo la MAFIA ni kada wa CHAMA CHA MAPINDUZI.
Aloshawahi kugombea nafasi fulani ya vijana akiwa idara ya mipango.
Hapawezi kuwa na uchaguzi MAFIA