obedia musa
Member
- Nov 19, 2014
- 57
- 41
DAWASA KINYEREZI WAHUJUMU UCHUMI…
Hii ni habari ni inayopaswa kuchukuliwa na kufanyiwa kazi na Mamlaka nyingine za nchi kwa haraka sana.
Ni hivi, kutokana na uhitaji wa maji kuongezeka na watumiaji kuwa wengi, Serikali iliamua kuanzisha ofisi nyingine kwa upande wa Tabata kwa kufungua ofisi ya kanda ya Kinyerezi ambayo inahudumia Mitaa ya kata ya Kinyerezi,Bonyokwa,Sehemu ya Segerea na Saranga.
Sehemu ya Kimara na kwingineko. Wazo zuri la serikali kusigeza huduma karibu na wataje limegeuzwa na watendaji Dawasa Kinyerezi kuwa mtaji wa wao kuvuma pesa binafsi na kuikosesha serikali Mapato.Mtandao wa wizi na uozo hupo kama ifuatavyo:
1.Kunamtandao mkubwa wa kuuza maji kwa njia ya magari Kinyerezi na maeneo yake, Mtandao huu unawahusisha watu wa Dawasa Kinyerezi wakiongozwa ma manager wao.
2. Kupitia mtandao huu watu wa Dawasa wanachukua 350,000 kwa siku kwa kila gari linalouza maji.
3. Kwa sasa ili uweze kuagiza maji kwenye gari unatakiwa uwe na Shilingi 45,000. Na Kwa siku gari moja linaweza sambaza Maji kwa familia/kaya 30.
4. Kwa hesabu za haraka kwa siku moja gari moja linakusanya kiasi cha 1,350,000.
5.Katika pesa hiyo watu wa Dawasa Kinyerezi wanachukua 350,000 katika kila gari linalosambaza maji.
6.Kwa magari 20 yanayosambaza maji mitaani,Watu wa Dawasa wanakusanya Tsh 7,000,000 kwa siku kupitia biashara hii ya uhujumu.
7.Kwa hesabu za haraka kwa Siku 10 tu wanauhakika ya kuingiza 70,000,000..huku bill za maji za serikali zikiwa hazisomi.
8. Ofisi za Dawasa Kinyerezi kwa kutumia mafundi wao wanazuia maji kwenda kwenye mitaa kimkakati wakitoa vizingizio vingi vya uongo.
9. Kunamitaa haijaona Maji mwezi wa 3 sasa huku wananchi wakiona maji yakiwagika kwa kasi kubwa kwenye maungio na Get valve zao Dawawa.
10.Mitaa michache inapata maji kwa wiki hata mara 3 kimpango mkakati ili itumike kama ngao na kuaminisha wakubwa majibu yao.
11.Mtandao huu ni mkubwa na umeota mizizi pamoja na malalamiko ya wanachi kwa Dawasa Kinyerezi hakuna hatua zinazochukuliwa kuuwajibisha mtandao huu.
12.Wito kwa mamlaka nyingine za serikali kuingia Dawasa kinyerezi ili kuokoa mapato ya serikali yanayopotea.
13. Dawasa Dar es salaam wanatakiwa kuondoa watumishi ya Dawasa kinyerezi ili kulinda heshima yao na Wizara ya Maji.
Pia, Soma:

Waziri wa Maji jitokeze huko uliko uagize Tabata Kinyerezi wafunguliwe maji
Kinyerezi kuna shida kubwa ya maji, group la DAWASA WhatsApp halifanyi chochote kutatua kero hii
DAWASA, Segerea kuna mgao wa maji kimyakimya? Wiki ya pili mitaani hakuna maji!
Tabata Bonyokwa hatujaona tone la maji wiki ya tano sasa, DAWASA mnatuona manyani?
Dar: DAWASA imeanza kutekeleza kazi ya kufunga kifaa cha kusukuma maji kwenda Bonyokwa
DAWASA yafafanua sababu ya maji kukatika mitaa ya Tabata